Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you.
Hapana. Simjui huyo mdau.
Basi nikawa sikuamini amini lakini now nimekuelewa. Lol
Ever loved... Truly adored Angel Nylon... Misingi you mumieHeaven on Earth
Huyu mrembo amepotea kwa muda usiojulikana, mara ya mwisho alionekana mitaa ya Biashara na Uchumi, huwa anapenda kutembelea mitaa ya MMU na Chit Chat. Popote utakapomuona unaombwa kutoa taarifa hapa.
Heaven Sent
Huyu mrembo amepotea kwa takribani mwezi mmoja, yeyote atakaemuona popote pale atoe taarifa hapa. Huwa anapenda kutembelea mitaa ya MMU na huko ndipo alipooneka kwa mara ya mwisho.
[emoji23] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23]JF noma sana. Mi sionekani na wala simisiwi!
Sure,amequit for good.Aisee...kwahio hasira zako ndio zimemkimbiza?
Old soldier train new soldierHahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Old soldier train new soldier!!Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Wewe 'mwehu' sana.haha, ni likes tu bhana.
Labda zije zitunogee baadae ila niamini kwasasa.
Hamna sikuwa namjibu.Duh ulimpa maneno magumu.
Ya kesho ayajua Mola yakhee.Wewe 'mwehu' sana.
Yaani umejitengenezea ka-fursa ka baadaye!!