Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ukifanikiwa kulainisha nihabarishe na mimi inakopatikana hiyo grisiMekumiss tuuu na mie.. Tunapambana kujaribu kutafuta grisi ya kulainisha vyuma..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifanikiwa kulainisha nihabarishe na mimi inakopatikana hiyo grisiMekumiss tuuu na mie.. Tunapambana kujaribu kutafuta grisi ya kulainisha vyuma..
Mi sijakupataOh nimekupata.....
Hommie ulikwepa umande wa Arusha maana kule Asubhi kama shule hauipendi kuamka ni ngumu.Kaka @PRONDO
Hivi kuna wingi wa person? Ama mimi ndio naona chenga?
Nimekupinga wapi pacha? Kusema sijakupata ndo kukupinga?Hivi lini utaacha kunipingapinga.
Haya bwana ujue unapendaga kuninyanyasaNdio.
Dhamana
Thamani
Zamani
dha -dhahania,dhani,dhahabu,baradhuli,dhambi
Tha- thamani,theluthi,theluji
Za- zamani,zodoa,zoa,zama,zima,zali.
baizawei, nakusalimu.
Haswa..Nashukuru
Hiyo dhahania ndio kama kuzania?
Haswa..
Ndiyo kudhania kwenyewe.
Hatua kwa hatua, ngazi kwa ngazi. Mimi ni mtozi na mwanagenzi philip Mwihava[Tangazo la lugha].
haha swali ngumu hili hata linguist atashindwa kukujibu.Oooooh kumbe ha ha haaaa
Nashukuru
Kudharau
Kuthaminiwa
Zamana basi ni dhamana
why
Zamani sio dhamani
haha swali ngumu hili hata linguist atashindwa kukujibu.
Zamani imetokana na zama.
Hakuna sababu kwanini zizi lisingeitwa sisi cha zaidi ni unasibu tu.
You're welcome.Nimekusoma na nimependa umetoa kicheko
Ahsante
Mimi huyuhuyu? Kwa kweli pacha wangu huishiwi vitukoI miss u.
Wewe ni mgeni?Oooooh kumbe ha ha haaaa
Nashukuru
Kudharau
Kuthaminiwa
Zamana basi ni dhamana
why
Zamani sio dhamani