Missing Persons Special Thread....

Kaka @PRONDO

Hivi kuna wingi wa person? Ama mimi ndio naona chenga?
Hommie ulikwepa umande wa Arusha maana kule Asubhi kama shule hauipendi kuamka ni ngumu.

Unamjua papa mafidoo?
 
Haswa..

Ndiyo kudhania kwenyewe.

Hatua kwa hatua, ngazi kwa ngazi. Mimi ni mtozi na mwanagenzi philip Mwihava[Tangazo la lugha].

Oooooh kumbe ha ha haaaa
Nashukuru

Kudharau
Kuthaminiwa
Zamana basi ni dhamana
why
Zamani sio dhamani
 
Oooooh kumbe ha ha haaaa
Nashukuru

Kudharau
Kuthaminiwa
Zamana basi ni dhamana
why
Zamani sio dhamani
haha swali ngumu hili hata linguist atashindwa kukujibu.

Zamani imetokana na zama.

Hakuna sababu kwanini zizi lisingeitwa sisi cha zaidi ni unasibu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…