Naomba namba yakeMy Ex....
Nipo Club D hapa Moshono mkuu
Ndio vyuma vimekaza au uhenga?
Huyu mpendwa lazma ana majanga sio ubatizo huu wa kila siku, ngoja nimuweke kwenye maombi
Mpendwa mpendwa kulikoni? Umekula cha mtu nini ha ha haMajanga kweli, mpendwa. Spotlight ya humu ina wenyewe.
Mpendwa mpendwa kulikoni? Umekula cha mtu nini ha ha ha
Nmekumiss pia, nmekutafuta hadi kwa darubiniHaha kula vya watu tulimwachia Raimundo. Wasn't feeling everything that came with the territory tu, hakuna la kutisha.
Uko poa lakini? Nimekumiss bana.
Yani weweKila demu JF una shida nae,unawanyonya damu mkuu??
I'm ready to mingle tehNa wewe ulikuwa wapi? Please be my Valentina
Mwenyewe nimemmiss kweli, sijui kawekwa kinyumba nanani