HahhahhahaaaJF noma sana. Mi sionekani na wala simisiwi!
Hahaaaaa.I love you!
Bila shaka pesa inahusika na upotevu wa huyu mtuNa Miss Chaga nae utakapomuona toa taarifa kwa kituo cha polisi kilicho karibu na wewe
Zawadi nono itatolewa.
Basi msogezeeni pesa arudiBila shaka pesa inahusika na upotevu wa huyu mtu
Vijana hawataki masuala ya kuvizia na kumendea. Tunataka instantaneous everything. We just want the result, not the process. As a result we corrupt our minds.Hahaaa. Vizia ka dame kamoja ukafate fate ukaquote quote kakiku notice mwaga sera. Ikikubaliwa you are good to go.
Isipokubaliwa mkuu try again. Haiwezekani warembo woooote wakukatae wewe.
Afu bana nishasahau kabisa jina lako la zamani. Yet you were my friendπVijana hawataki masuala ya kuvizia na kumendea. Tunataka instantaneous everything. We just want the result, not the process. As a result we corrupt our minds.
There is a lot of satisfaction in hunting. We need to try it out sometime.
Zamani sana ilikuwa ni kama social network. Watu waliweza kucomments kwenye picha za watu.Hivi badoo na kwenyewe ni forum? Nilijua unapost tu pics unatafutwa
Nashukuru Mungu umelisahau. Maana ulinichana baada ya kubadilisha na kuweka hii pseudoname ukasema hili baya.Afu bana nishasahau kabisa jina lako la zamani. Yet you were my friendπ
Tangaza fursa humu ndani. Utamuona tu miss chaggaBasi msogezeeni pesa arudi
I just hate changes. Labda nilihisi it would change everything about you.Nashukuru Mungu umelisahau. Maana ulinichana baada ya kubadilisha na kuweka hii pseudoname ukasema hili baya.
Nisingeweza kusurvive na jina langu halisi humu.