RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #161
Aisee....huyu binti nae kapotea.Honey Faith , upo wapi now
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....huyu binti nae kapotea.Honey Faith , upo wapi now
[emoji7]I miss u more my Shem, inabid tutenge muda tukutane pale kijiwen aisee maana sio kwa kumisiana huku
Nimegundua JF tunatambuana kwa avatar zaidi kuliko ID.Zamani sana ilikuwa ni kama social network. Watu waliweza kucomments kwenye picha za watu.
Siku hizi ndio pure dating site. What happens in your profile stays in your profile.
umeonaaaeeeeaNimegundua JF tunatambuana kwa avatar zaidi kuliko ID.
Naingiaga mara chache tuHata kule kwa makapuku huonekani?
Siku hizi unajichimbia....umeonaaaeeeea
hata mimi nilipata shida kutambua nani amenitaja humu,
hii avatar yako ngeni mkuu
teh
kuna kamkakati tunafanya soon utaelewa filamu nzimaSiku hizi unajichimbia....
Mhhh amuweke wapi? Natumaini si mahali pema peponi!
Mkakati? hivi kwa english ndiyo strategy eehkuna kamkakati tunafanya soon utaelewa filamu nzima
teh teh
bora umerudi real you bhana
bora aisee, tumekuzoea bhana looohMkakati? hivi kwa english ndiyo strategy eeh
All the best guys.
imebidi bhn maana kila nayekutana naye anasema nirudi.
hahaa aiseeeYeah ni kweli maana ushazeeka sasa,lea wajukuu.
yupo kwenye mpngo wakufnya project uliyomshauri yule kijanaSiku hizi umekazana kweli kuni laiki laiki ukikatiza mitaa niliyopita Daby?
Iko nini?😛
hahaa umenikumbusha habari za TMT dash wabongo banaaEti wanasema ukisikia kuna fursa wewe ndio fursa yenyewe....
Especially ID ikiwa na kivutio flani ndani yakeNimegundua JF tunatambuana kwa avatar zaidi kuliko ID.
daahh huyo mnyamwezi unayetumia jina lake amevurugwa huyo ..daahh umenikumbusha mbali mkuu
daahh enzi za 2go ..palikuwa na mapepe huko hatarisory nimechanganya i mean 2go
hahaa ile avatar inatia genye mnoo mkuu .yule mtoto sijui ni wataifa gani daahhJmn mm nikionaga avatar ya Mzigua90 hadi nadindisha,cjui nae ni mzur km huyo aliemuweka?...
Yupo ila katika toleo jipya