Missing Persons Special Thread....

I just hate changes. Labda nilihisi it would change everything about you.

Hata JF ilipobadilika outlook I walked away kwa mda sana.

Niambie basiii🙄🙄
As much as we hate change, life is full of it.

It's like there is a constant war between accepting change and resisting it. Lakini bora ulikubali the new JF interface, many of us in here love your thoughts. In the chaotic nature of the present JamiiForums you help instill sense into so many of us in here.
 
Thank You.
 
Tatizo watu ID zaidi ya moja ukimuona kapotea kwa jina moja ujue kaibuka na jingine.

Mpk sasa kuna watu 4 nimeunganisha ID zao. JF ina raha zake inabidi uwe makini sn na urafiki wa humu wengine wadukuzi tu
naomba nisaidie unafanyaje kuunganisha id hizo nami nataka nijue
 
Mzizi mkavu
Faiza fox
Bitoz
Hawa ni most wanted and heavily armed.toa taarifa mapema ukiona watu hao
Mkuu mimi nipo
Ila siku hizi nimepunguza tu kupost
Kuna muda napotea hata nwezi na ushee
 
Tatizo watu ID zaidi ya moja ukimuona kapotea kwa jina moja ujue kaibuka na jingine.

Mpk sasa kuna watu 4 nimeunganisha ID zao. JF ina raha zake inabidi uwe makini sn na urafiki wa humu wengine wadukuzi tu
Sio kosa mtu kuwa na ID nyingi hata kuwa nazo 10 inaruhusiwa

Huwa zinaunganishwa kama tu mtu anazitumia vibaya mfano
*Kujianzishia uzi
*Kutapeli
*Kutukana
*Kujiquote mwenyewe
*Kuzitumia kuuma na kupuliza
*Kujitetea kwenye thread
N.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…