Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Hahahahahhahaaaaa forex uwiiiiUshauri wako mzuri! Wadada wa JF hawawezi kunikubali Mimi muuza Mapupu na vichwa vya kuku asubuhi, usiku Mlinzi! Na Mimi kufake siwezi. Wao wanataka wacheza FOREX
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahhahaaaaa forex uwiiiiUshauri wako mzuri! Wadada wa JF hawawezi kunikubali Mimi muuza Mapupu na vichwa vya kuku asubuhi, usiku Mlinzi! Na Mimi kufake siwezi. Wao wanataka wacheza FOREX
sory nili changanya i mean ni 2goHivi badoo na kwenyewe ni forum? Nilijua unapost tu pics unatafutwa
Kuna mambo mengi yanasababisha id nyingi.Tatizo watu ID zaidi ya moja ukimuona kapotea kwa jina moja ujue kaibuka na jingine.
Mpk sasa kuna watu 4 nimeunganisha ID zao. JF ina raha zake inabidi uwe makini sn na urafiki wa humu wengine wadukuzi tu
Walitingisha sana kule umkute miss chagga Vs Miss neddy na huku yupo Evalyn salt Vs Heaven on EarthHii timu enzi zake...
Ushmen[/QUOTE
Mchochezi ni aliyetafsiri hivyo.Wewe ni mchochezi...
MariooMiss strong jamani
Mama SabrinaMiss strong jamani
Ulipost uzi wa kuhusu ngedere wanavowasumbua nyumbani kwenu na Mr.... Uwafanyeje?? ( if I'm not mistaken lakini)
Nikakoment utumbo kuwa " waoneshee kipapa "[emoji16] [emoji16] [emoji23] haha ulinipa ulinipa ila kiingereza sasa kwani niliambulia neno hata moja !! Ulitumia English kama Ile anayoandikaga Ngabu sometimes..
Cc Smart911