Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kisa cha kumpiga marufuku ni nini mkuu?Nipe salamu nimfikishie nimempiga marufuku kuingia humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa cha kumpiga marufuku ni nini mkuu?Nipe salamu nimfikishie nimempiga marufuku kuingia humu.
Sina[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Wewe una chura?
Wakware ni wewe mwenyewe mkuu,kwani yule manzi wa kwanza uliemkwapua hapa JF mkware si ulikuwa ni wewe mwenyewe ndo ulisababisha akakuacha!!Wakware mmezidi.
HaahahahhWakware ni wewe mwenyewe mkuu,kwani yule manzi wa kwanza uliemkwapua hapa JF mkware si ulikuwa ni wewe mwenyewe ndo ulisababisha akakuacha!!
We mwanaume..Analea mimba Bro.. Niliona nimpige kufuli apunguze fujo
hahahaaaaAnalea mimba Bro.. Niliona nimpige kufuli apunguze fujo
brav what up!Nipo boss.. Pesa ya bundle inasumbua kidogo teh teh
I'm iight brav..
How was ya weekend?
Nambie mke..We mwanaume..
Teh teh..Zimefika aisee..Andaa tu hela ya pampershahahaaaa
mwambie kaka yako anakumiss sana sanaaa!
Ulipotelea wapi lakini?Nambie mke..
We ndo huonekana mke..Sijui kiserengeti gani kimekufichaUlipotelea wapi lakini?