mission imposible

mission imposible

msweken

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
441
Reaction score
1,716
moja haikai mbili haikwendi, tatu ndo kabisaaaaaa................, chief tete imegoma, popo kaning'inia haitaki, za kichapego hazikwendi.....wife anakitambi, mimi nna kitambi...
 

Attachments

  • 526071_364286926967531_100001586801191_1058715_1162649380_n.jpg
    526071_364286926967531_100001586801191_1058715_1162649380_n.jpg
    10.7 KB · Views: 89
duh........................ ila haijaamua hata kwa stail ya ubavu ubavu au stail ya kuendesha baiskeli itaingia tu.unatumia newtons first law
 
aaaaaaah!!! hapo umedanganya, ubavu ubavu haiendi labda ka unataka kunikamua mafuta..
 
nilidhani umeyaona ya chini ya kitambi..
 
ɐʍqnʞɐɯ ozıʇɐʇɐɯ ıu oʎɐɥ
 
hiyo ya kiswahili.... piga uwiiiiiiiiiii ya kabila lako..
 
Nilivyoona tittle ya post nikafikiri Tom cruise kaingia jf.
 
Usweken duhhh! umenikumbusha mbali sana, wewe utakuwa umesoma shule flani
 
shule flani ya watakatifu flani a.k.a st government flani ya walevi flani wa pombe flani ya mmea flani, kama ndizi flani, umenisoma flani..????
 
Si muondoe hivyo vitambi!!!Kwani mlipewa kwa lazima?
 
vinakujaga bila hodi, havijaitwa..
 
He he he... hawajui style zingine!
 
Back
Top Bottom