Missungwi High School Ni shule mpya?

Missungwi High School Ni shule mpya?

Boardroom

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
76
Reaction score
11
Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.

Asante.
 
Wandugu . .. . Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.. Asante.

Hiyo shule ipo wilaya ya misungwi mkoa wa mwanza ngoja nkutafutie contact za mmoja wa walimu hapo.
 
Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.

Asante.

Tunamkaribisha sana hapa shule ya kata yetu
 
Ndg Loook.... mawasiliano na huyu mwl naweza kuyapata leo leo???
 
Back
Top Bottom