Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wandugu . .. . Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.. Asante.
Wandugu. Mdogo wangu kachaguliwa kujiunga shule hii ya Missungwi kwa CBG namimi ndio naisikia hii shule. Natafuta contacts zao ili nifuatilie joining instruction na ikiwezekana nijue kabisa kama hii shule inamfaa au laah.
Asante.
Hiyo shule ipo wilaya ya misungwi mkoa wa mwanza ngoja nkutafutie contact za mmoja wa walimu hapo.