Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

mech ni leo. analysis abuya
Tuanza kukufanyia wewe kwanza analysis kabla ya kuhamia kwa Abuya. Kama unaandika nyuzi kibao za ku criticize mtu au timu na kutoa utabiri kisha zote unaishia kuumbuka maanake hujui kitu, hata shuleni kulikuwa na watu wanaojifanya wajuaji ila mwisho wa siku anakamatika kwenye matokeo ya mtihani. Katika 50 ukishindwa kupata hata nusu yake ni wazi hujui kitu.

Angalia idadi ya wanaokuunga mkono hoja yako vs idadi ya wanaopingana nawe ni jibu tosha kuwa una la kujifunza kuhusu uchambuzi. Mchambuzi hawezi kukubalika mawazo yake na wote lakini kama zaidi ya asilimia 80 inakukatalia ujue umechochora.
 
Abuya mpaka sasa naweza sema ni ingizo zuri labda huko mbele yamkute majanga.
 
Unaweza kulirudia goli la Yanga ukaniambia mchezaji aliyegusa mpira mara nyingi kwenye zile pasi 14 kabla ya goli?
after kugusa wat did he do??

watu mpira amjui.

simba ni mbovu sema abuya ni mbovu zaidi.
 
Tuanza kukufanyia wewe kwanza analysis kabla ya kuhamia kwa Abuya. Kama unaandika nyuzi kibao za ku criticize mtu au timu na kutoa utabiri kisha zote unaishia kuumbuka maanake hujui kitu, hata shuleni kulikuwa na watu wanaojifanya wajuaji ila mwisho wa siku anakamatika kwenye matokeo ya mtihani. Katika 50 ukishindwa kupata hata nusu yake ni wazi hujui kitu.

Angalia idadi ya wanaokuunga mkono hoja yako vs idadi ya wanaopingana nawe ni jibu tosha kuwa una la kujifunza kuhusu uchambuzi. Mchambuzi hawezi kukubalika mawazo yake na wote lakini kama zaidi ya asilimia 80 inakukatalia ujue umechochora.
focus on the topics.

kitu ujui threads zangu zote zipo chini kila mtu anaona. sio ww tu .

you are nothing special.
 
asante, gamondi ameona, abuya benchi
Mbona kocha kaulizwa hilo swali kuhusu kuanza na Mudathir akaeleza ni ishu ya tactics. Leo Yanga walikuwa wanapiga mipira mirefu kwenda golini kwa Azam. Makocha huwa wanawapa majukumu wachezaji wafanye kipi kulingana na mpinzani wanayekutana nae. Acha mahaba ya kutaka mashabiki wamchukie Abuya kwasababu zako binafsi kama ulivyotaka kumgombanisha Gamondi dhidi ya mashabiki wa Yanga na uongozi wa Yanga kwa kulazimisha atimuliwe...
 
I don't hate abuya. but he needs to improve
 
Upo too emotional mpira hujui unawahi kutoa hukumu. Vipi uzi wako uliosema Dube na Boka Yanga wamepigwa unaukumbuka? Anayejua mpira huwa hakurupuki kuhukumu mtu bali anampa muda. Msimu uliopita kila Yanga ikicheza unakuja na uzi Gamondi afukuzwe hana uwezo. Msimu huu mechi ya kwanza tu ya Yanga ukatoa hukumu kwa kuleta uzi humu kuwa Boka, Dube na Abuya Yanga wamepigwa. Hakuna mchambuzi wa hivyo bali ni hisia.
 
Sio mchambuzi ni kuwa hajui mpira kinachomsaidia ana TV basi akiangalia futbal nae anataka kuchambua jana Abuya kaingia kiungo kikatulia pale kati ikawa pass zinamwagika tu harafu unamkuta mtu hata kupiga dana dana mbili nae anamchambua Abuya..
 
Back
Top Bottom