Mistari hii kwenye wimbo wa Diamond 'Nasema Nawe', Sio madongo kwa Madame Wema?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaaa,


Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataaa,


Usio hiana fedhuri uongo umekujaaa,


Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa,


Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa,


Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa.

=> Nimekaa nikautafari huu ubeti wa pili mawazo yakanijia kuwa alikuwa anampiga dongo madame Wema hasa baada ya Diamond Kummwaga...

Naeleza kama ifuatavyo...

 
Mapenzi ya ma celebrity/wasanii yana mambo kwelikweli!Mapenzi yakikolea nyimbo zitatungwa nzuuuri ajabu, ooh you are my number one, roho yangu!
Ngoja waachane sasa? lol.
 
nifah, Sio wasanii tu bali watu wote.Mkiwa penzini ntaambiana na kusifiana mambo lukuki lakini mkiachana ndio mwanzo wa kusemana vibaya kwenye jamii.
 
Last edited by a moderator:
nifah, Sio wasanii tu bali watu wote.Mkiwa penzini ntaambiana na kusifiana mambo lukuki lakini mkiachana ndio mwanzo wa kusemana vibaya kwenye jamii.

Ni kweli lakini sisi watu wa kawaida hatupati madhara makubwa sana maana hata kama tukichafuana vipi hata kata nzima tu haiwezekani watu wote wakajua.
Balaa ni kwa hawa wenzetu dunia nzima inajua!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa Chachu Ombara,Wema sasa hivi amefulia kimawazo maana alijua kua akimwacha diamond basi chibu atafulia sana,mashabiki wasiokuwa na faida walimdanganya kua chibu anatembelea nyota yake na yeye kwa UPIMBI wake akakubali!!kuigiza hataki kazi kuFAKE maisha tu.

Anazeeka bure kabisa,jina kubwa,urembo anao lakini anakufa masikini
 

We ambae kijana umefanya nini la maana hadi sasa...
 
Madme ndio upuuzi gani'?

Jamani mnaelewa maana ya madam?

Yule kahaaba mtamwitaje madam? ana sifa gani ya kuitwa hivyo...labda ni madam kwa makahabaa wenzie
 

Hivi urembo nyie manauangaliaje jamani

Hivi wema ana urembo gani....

Lets be fair na neno urembo jamani
 
nifah, Sio wasanii tu bali watu wote.Mkiwa penzini ntaambiana na kusifiana mambo lukuki lakini mkiachana ndio mwanzo wa kusemana vibaya kwenye jamii.

Aiseee.........
Hakuna udhaifu na ufedhuli mkubwa kama kumsema vibaya aliekua mpenzi/ mwandani wako baada ya kuachana.
 
Last edited by a moderator:
We ambae kijana umefanya nini la maana hadi sasa...

oooh!#Bringbackourmadame!!mmepewa madame wenu mkaondoka naye kwa mbwembwe kibao huku mkijinadi Platinum kutembelea nyota ya wema,sasa hivi ana waya waya tu,hana mpya lolote wala mafanikio ya maana kama mastaa wenzie.Amebaki kulia kulia tu ooh mi sina uwezo wa kuzaa!!yanatuhusu??anataka watu tumuhurumie au tufanyeje mpaka atuelezee shida zake!?

Hunijui wala sikujui ndio maana tunatumia IDfake ili tusijulikane shosti!kwa hiyo ukiniuliza mimi nina nini jibu ni kwamba HUNIJUI NDIO MAANA HUJUI NINA NINI..

Narudia tena wema hana lolote
 
Jamani Lulu yamemkuta yapi tena kafuta picha Ig naona wanaandika tu kumpa pole warumi Geniveroz nifah
 
Last edited by a moderator:

Safi sana.Yaani umenikosha roho kupita maelezo! Nitakucheki weekend hii tukapate sea food Serena hotel aisee.
Much ♥♥♥♥ kwako.
 
Inasemekana kuna mwanaume anaitwa Seki ( Bilionea) amefariki leo ghafla na alikuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Lulu

Yap nimeona seki nikajiuliza seki wa komedi au kumbe duuu inakuwajeee yarabiii au mipango ya Mungu
 
Jamani Lulu yamemkuta yapi tena kafuta picha Ig naona wanaandika tu kumpa pole warumi Geniveroz nifah

Wee, imekuwaje tena.Sio kwamba kaamua kufuta tu.Maana mashabiki wanapenda sana kutoa pole.
Ingekua ni pesa Wema angenunua chopa kwa kupewa pole.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…