Mistari hii kwenye wimbo wa Diamond 'Nasema Nawe', Sio madongo kwa Madame Wema?

Inasemekana kuna mwanaume anaitwa Seki ( Bilionea) amefariki leo ghafla na alikuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Lulu

Naanza kuamini kuwa Ukitoka na Lulu mauti yanakukumba ghafla.Mhu
 
Yap nimeona seki nikajiuliza seki wa komedi au kumbe duuu inakuwajeee yarabiii au mipango ya Mungu

Masikini huyu Seki ndo yule papaa anayemweka mujin na kumsupport kimaisha for the time being.
 
Heee! Jamani Lulu ataogopwa sasa.Sijui ana mkosi au ni kitu gani!
Tuwekeeni basi picha jamani na sisi tumuone.
 
Hee?!?!Lulu maskini pole yake,mungu ametenda kwa utukufu wake hakuna wa kuhoji kazi zake azitakazo kufanya.Mbele yake nyuma yetu.

KIMBLEY.
 

Sidhani kama alimutungia Wema ili kumponda kwa vile ubeti huo unamgusa pia mpenzi wake wa sasa Zari ambaye naye ana sifa karibu zote hizo ulizotaja.
 
Madme ndio upuuzi gani'?

Jamani mnaelewa maana ya madam?

Yule kahaaba mtamwitaje madam? ana sifa gani ya kuitwa hivyo...labda ni madam kwa makahabaa wenzie

Wewe acha chuki za kijinga.
 
mmmmh yaani wakati huyo mtoto wa dampos alivyoanza kuwa na wema alishukuru sana. but sahv.....
mapenzi ndivyo yalivyo tena ukiona mtu anaongea sana kuhusu ex wake jiulize maswali kwan ex kamuandikia barua au nini
 
Huyu domo huyuu.....kwan kama wameachana anacho mchokonoa WEMA Ni nini..........kwanza bora waliachana coz Wema alijidhalilisha sana kutembea na domo. Yaani aka ka domo aka ngoja siku kafulie kashenzi kweli kataishia kutembea na mamamaa mpaka
 
Hivi urembo nyie manauangaliaje jamaniHivi wema ana urembo gani....Lets be fair na neno urembo jamani
kujikrim, bandika kucha, bandika kope, shonea weaving, paka lipstick plus mboni ya bandia....huo ndo urembooo
 
Oooh msanii fulan hana lolote we una nini hata kitanda huna unalala chin vocha yenyrw asante tigo kifurushi cha chuo fanya yako kijana fatilia kidogo maisha yao waachie ishi yako akaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…