Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Inasemekana kuna mwanaume anaitwa Seki ( Bilionea) amefariki leo ghafla na alikuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Lulu
Naanza kuamini kuwa Ukitoka na Lulu mauti yanakukumba ghafla.Mhu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana kuna mwanaume anaitwa Seki ( Bilionea) amefariki leo ghafla na alikuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Lulu
Yap nimeona seki nikajiuliza seki wa komedi au kumbe duuu inakuwajeee yarabiii au mipango ya Mungu
Masikini huyu Seki ndo yule papaa anayemweka mujin na kumsupport kimaisha for the time being.
Naanza kuamini kuwa Ukitoka na Lulu mauti yanakukumba ghafla.Mhu
Aahh!! Zingifuli zingifuli zinga mahala ukakaaa,
Usoo mila desituri usiyejua tongozwa ukakataaa,
Usio hiana fedhuri uongo umekujaaa,
Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechakaa,
Aagah!! Mwanzako mim turufu si garasa,
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa.
=> Nimekaa nikautafari huu ubeti wa pili mawazo yakanijia kuwa alikuwa anampiga dongo madame Wema hasa baada ya Diamond Kummwaga...
Naeleza kama ifuatavyo...
Aiseee.........
Hakuna udhaifu na ufedhuli mkubwa kama kumsema vibaya aliekua mpenzi/ mwandani wako baada ya kuachana.
Madme ndio upuuzi gani'?
Jamani mnaelewa maana ya madam?
Yule kahaaba mtamwitaje madam? ana sifa gani ya kuitwa hivyo...labda ni madam kwa makahabaa wenzie
Hivi urembo nyie manauangaliaje jamani
Hivi wema ana urembo gani....
Lets be fair na neno urembo jamani
Acha ubwe.ge kumponda wema.
hongera sana mwanaumeAiseeee......Nilisha vuka uvulana
kujikrim, bandika kucha, bandika kope, shonea weaving, paka lipstick plus mboni ya bandia....huo ndo uremboooHivi urembo nyie manauangaliaje jamaniHivi wema ana urembo gani....Lets be fair na neno urembo jamani
ha ha ha ha mwaga mboga nimwage ugali nizime na motoAcha ubwe.ge kumsifia wema.
kujikrim, bandika kucha, bandika kope, shonea weaving, paka lipstick plus mboni ya bandia....huo ndo urembooo
swadaktaa huo ndo urembo sasa kibongo bongona kutumia madawa ya kichina kukuza matako?