DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 183
Tobycow we ndo umetoa point::
Chonde chonde ngoma nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ikifa uwezi sikia kabisa
... Na hadi leo haina spear !
Tunapenda kuichezeachezea tu bila umakini... Subiri sasa ikuchoke maji utaita mma !... Ni kitu kidogo lakini hatari sana.