Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Na ma DSOHizi walitumia ma RSO enzi za mkapa
Eti 2.8 litre petrol mitsubish pajero haina hiyo engine,,, 2.8 liter ni 4m40 diesel ya petroli ni cc 3000 v6 nkPajero ngumu sana kuiuza mkuu hasa kama ni 2.8 litre ya Petrol
Bongo gari ya petrol ikivuka 2.5 andika maumivu. Nina pajero 3.0 (V6) petrol natamani nikalitoe sadaka. Nimetangaza toka 2019 mteja akiuliza xc analala mbelePajero ngumu sana kuiuza mkuu hasa kama ni 2.8 litre ya Petrol
2800 intercooler ni zile za 1994 hadi 1998 zimeandikwa ubavuni,, za miaka ya 2000+ haijaandikwaYa mwaka gani
Niuzie mkuuBongo gari ya petrol ikivuka 2.5 andika maumivu. Nina pajero 3.0 (V6) petrol natamani nikalitoe sadaka
Sadaka utoe kwanguBongo gari ya petrol ikivuka 2.5 andika maumivu. Nina pajero 3.0 (V6) petrol natamani nikalitoe sadaka
Andaa 15mNiuzie mkuu
Sasa akanunue gari ya 1994 mwaka huu 2025?2800 intercooler ni zile za 1994 hadi 1998 zimeandikwa ubavuni,, za miaka ya 2000+ haijaandikwa
Kama ameipenda anunue haina shida mradi aangalie kama iko vizuriSasa akanunue gari ya 1994 mwaka huu 2025?
Tuma picha mkuuAndaa 15m
Ina kipengele gani na unauzaje?Bongo gari ya petrol ikivuka 2.5 andika maumivu. Nina pajero 3.0 (V6) petrol natamani nikalitoe sadaka. Nimetangaza toka 2019 mteja akiuliza xc analala mbele