mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kinachoendelea ndani ya Act hasa kwa wagombea wa wili wa ubunge kumshutumu Maalimu na zitto juu ya kumuunga mkono Lissu na kumshutumu Maalimu kuwa amekiuka katiba ya chama hicho hivyo anapoteza uanachama na sifa ya kugombea .
Tujadiliane kama wazalendo kitendo chochote cha kumtoa Maalimu kwenye uchaguzi ni kuhatarisha amani ya Zanzibar na hilo kila MTU ndani ya nchi hii anakijua
Nionavyo Mimi
Hao watu wanaomhujum Maalimu hawatumiwi na watanzania bali na mabeberu hivyo tuwapige wote kwa pamoja na tusishangilie hata kidogo.
Mtego upo hapa
Ikiwa katiba ya ACT itafuatwa Maalimu ataenguliwa na akienguliwa hata furahia na wafuasi wake wataanza kuandamana,wakiandamana polisi wanajaribu kuyavunja maandamano na wakitumia nguvu kidogo tu mabeberu watakuja kuwasaidia hao waandamanaji within 24 hours na hapo watakachofanya ni kuigawana nchi moja visiwani na mwingine atakuja bara.
Hivyo tuwakatae hao watu maana mabeberu wameshindwa kutumia rais magufuli na wameshindwa kumshawishi Maalimu, hivyo hao si wazuri tukiwaruhusu si ccm wala ACT wote tunapoteza
Ushauri wangu
Tuwaache wagombea wote waingie kwenye uchaguzi halafu hata tukicheza na kura ni bora ila tuhakikishe tunawashawishi wapemba wote wasiandamane hata moja
Asanteni