Misuguano Act-wazalendo: Tujadiliane kizalendo zaidi

Misuguano Act-wazalendo: Tujadiliane kizalendo zaidi

Seif alishasema maamuzi ya kumuunga mkono Lissu hayakuwa ya Seif peke yake au Zitto peke yake, yalikuwa maamuzi ya vikao halali vya chama, na usikute hata hao wapiga kelele wawili nao walikuwa sehemu ya hivyo vikao.

Tatizo siku zote wanaotumiwa na CCM huwa hawatumii akili kutengeneza pumba zao mbele ya wana habari, huwa wanakurupuka tu kuropoka chochote.
Ukimsikiliza huyo anayejiita mwanasheria na mwalimu wa sheria utajua mission ilikuwaje tangu mwanzo. Kwanza amekiri kwamba alikuwa ccm akahamia ACT. Huyu pamoja na Membe wote ni mapandikizi ambayo mission yao imeshindwa. Sasa wanataka watumie huo ujinga wao kuupotosha umma. Sasa, sasa, wajaribu huo uhuni wao waone.
 
Back
Top Bottom