Seif alishasema maamuzi ya kumuunga mkono Lissu hayakuwa ya Seif peke yake au Zitto peke yake, yalikuwa maamuzi ya vikao halali vya chama, na usikute hata hao wapiga kelele wawili nao walikuwa sehemu ya hivyo vikao.
Tatizo siku zote wanaotumiwa na CCM huwa hawatumii akili kutengeneza pumba zao mbele ya wana habari, huwa wanakurupuka tu kuropoka chochote.