Misuko mipya ya yebo yebo 2018

Misuko mipya ya yebo yebo 2018

15802549_585383354991058_8392587308674580480_n.jpg
16583321_627311754121254_182311332966563840_n.jpg
16789210_254545328305378_6850464182760898560_n.jpg
 
Huo wa aliyevaa sweta LA kijvu mm nimewahi kusuka mwaka 2017 mwaka Jana na sijui ulitoka mwaka gani.

Hiyo mingine mizuri lakini kwa mm nilivyo mvivu kukaa chini kufinywa muda wote ipite mbali na mm kama zilivyonipiaga fashion ya za kimasai

Maana kuna nywele hatavukiambiwa unasukwa bule haukubali hataaa
 
uzuri mmoja huwa mnazipenda wadada wenyewe, hakuna mwanaume anayeweza kuwapendea hizo katani.
 
Wenye nywele zenu mkapendeze mimi team weaves/wigs until further notice
 
Back
Top Bottom