Misukule na maradhi

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kikawaida misukule ni binadamu ni kipi kinaifanya isipatwe na maradhi kama binadamu wengine
 
Kimsingi si kwamba Misukule haiumwi hapana,ni watu Kama watu wengine isipokua wamefungwa kimwili&kiakili kutokuamua chochote,kuhsu maisha yao,maisha ya Misukule imeandamwa na na tabu,majonzi,matesa na kadhalika life span ya kuishi kwa msukile hutegemeana na Aina ya bosi aliyenaye Ila wanakufa mufa sana,kutokana na shurba wanazokutana nazo ktk pilika pilika za kila siku ktk maisha yao
 
kama utakua na ufahamu kwenye hili nikuulize,

hivi misukule huwa ina kumbukumbu za asili yao yani familia, marafiki na nyumbani kwao?

wakiwa kwenye shurba zao za kila siku wanajua kuwa wao ni misukule?

wanajua kama nyumban kwao wamemzinga ki mazingara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…