Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askofu Rashid kwa sasa yuko busy na korona ashaachana na habari za misukuleHayo maswali ungemuuliza Askofu Rashidi.
Askofu Rashidi atusaidie kufufua misukule ya koronaAskofu Rashid kwa sasa yuko busy na korona ashaachana na habari za misukule
Lina miaka mingi mkuu kumbe inatakiwa niliandalie mahala pa kulizikaUlilonalo lina muda gani? Wee subiri tu litaumwa na kufa. Halafu utalazimika kulizika.
🤣🤣🤣
kama utakua na ufahamu kwenye hili nikuulize,Kimsingi si kwamba Misukule haiumwi hapana,ni watu Kama watu wengine isipokua wamefungwa kimwili&kiakili kutokuamua chochote,kuhsu maisha yao,maisha ya Misukule imeandamwa na na tabu,majonzi,matesa na kadhalika life span ya kuishi kwa msukile hutegemeana na Aina ya bosi aliyenaye Ila wanakufa mufa sana,kutokana na shurba wanazokutana nazo ktk pilika pilika za kila siku ktk maisha yao
Lina miaka mingi mkuu kumbe inatakiwa niliandalie mahala pa kulizika