didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 861 Reaction score 1,476 Sep 18, 2024 #1 Wakuu naomben ushauri wa Madaktari, Nimefanya tendo na binti mmoja lakini baada ya tendo misuli ya uume inaniuma sijajua shida nini. NB: Nilizingatia Kinga this time.
Wakuu naomben ushauri wa Madaktari, Nimefanya tendo na binti mmoja lakini baada ya tendo misuli ya uume inaniuma sijajua shida nini. NB: Nilizingatia Kinga this time.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Sep 18, 2024 #2 We mzee icho kidude kitakatika maana we na magonjwa ni dam dam.
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Sep 18, 2024 #3 Wala usihofu, hiyo ndio faida mojawapo ya Uzinzi.
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 16,993 Reaction score 65,237 Sep 18, 2024 #4 Chuma chako