didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 861
- 1,476
Wakuu naomben ushauri wa Madaktari,
Nimefanya tendo na binti mmoja lakini baada ya tendo misuli ya uume inaniuma sijajua shida nini.
NB: Nilizingatia Kinga this time.
Nimefanya tendo na binti mmoja lakini baada ya tendo misuli ya uume inaniuma sijajua shida nini.
NB: Nilizingatia Kinga this time.