joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MK254 unaonyesha ni kwa kiasi gani ubongo wako haujakomaa, hivi wewe unapoitetea serikali ya Kenya ambayo duniani ipo katika tatu bora inamaana umelipwa na serika ya Jubilee sio mawazo na mtazamo wako?Madini ya Tanzanite, Kenya na hoja ya Zitto wapi na wapi, mkilipwa kutetea serikali kwenye figisu zake muwe mnashirikisha na ubongo pia, sio kuandika andika tu.
Press imemaliza kazi yake, aliyepaswa kusikia ameshasikia na ndio maana huwa anajibiwa. Tulia dawa iingie, Wakenya waache waseme, hawatuzuii mikono kwa maoni yao kiasi tuwalaumu. Moto utuchomao tunao hapa hapa nyumbaniMoto unazimwa kwenye press?
MK254 unaonyesha ni kwa kiasi gani ubongo wako haujakomaa, hivi wewe unapoitetea serikali ya Kenya ambayo duniani ipo katika tatu bora inamaana umelipwa na serika ya Jubilee sio mawazo na mtazamo wako?
Siku akili ikifunguka ukajiuliza kwa nini maswali maswali muhimu kama haya kwa nchi yetu hayaulizi bungeni anaulizia mtaani, utakuwa umepiga hatua kubwa sana! Kwa sasa utaishia kufuata itikadi yako tu!Press imemaliza kazi yake, aliyepaswa kusikia ameshasikia na ndio maana huwa anajibiwa. Tulia dawa iingie, Wakenya waache waseme, hawatuzuii mikono kwa maoni yao kiasi tuwalaumu. Moto utuchomao tunao hapa hapa nyumbani
Tangu uanze hoja ya kuwa watu wanalipwa kutetea serikali uwezo wa kujenga baadhi ya hoja umepungua! Kivuli cha watu kulipwa kinakuathiri sana! Ni vyema urudi kwenye zama zako.Madini ya Tanzanite, Kenya na hoja ya Zitto wapi na wapi, mkilipwa kutetea serikali kwenye figisu zake muwe mnashirikisha na ubongo pia, sio kuandika andika tu.
Kweli kabisa mkuu. Umenena vema.Zito, mwanzoni tulikuona mtu wa maana kwa kujenga hoja lakini sasa tunakuona hata jambo lenye manufaa kwa nchi unapinga ilimradi sema usikike,kama Magu amechukua agenda zenu muungeni mkono nchi isonge mbele tule migebuka ya leo leo hata huku upareni.
Huu ni wakati wa Bulldozer na Kikwete Mtu wangu.... hahahahahah, subiri tuUnapatia hawa watu stress mengi juu hata ujenzi haujaanza na Labda haunzishwi hivi karibuni. Hapa ni "tuta" miaka nenda miaka rudi in fact they have no definite timelines and their projects are mostly done in the present through paperwork and word of mouth but in fact they are futuristic without a realistically reliable timeline.
Inaonyesha ni kwakiasi gani wakenya wengi mnavyoweweseka na jinsi Magufuli anavyobadilisha hali ya mambo katika ukanda huu, hivi umesahau ni kwa kiasi gani watanzania wengi walivyokua wakimpinga Kikwete kwa uongozi wake wa hovyo wa kusafiri kila siku na kushindwa kupambana na rushwa, hukumbuki CCM ilikaribia kufa mikononi mwa Kikwete hadi upinzani ukapata nguvu za ajabu?, kwani kilichofanya hadi Chadema kikapata umaarufu ni nini kama sio udhaifu wa Kikwete kushindwa kusimamia mambo?, hata hizo kura nyingi alizopata Lowasa na idadi kubwa ya wabunge kupatikana ilichangiwa na udhahifu wa Kikwete zaidi, alikuwa ni kiongozi wa hovyo kama Uhuru Kenyatta, kutwa anasafiri na kucheka hovyo, na watanzania walimsema sana, Magufuli alikuwa anasikiliza ni mambo gani yanamfanya Kikwete achukiwe na wananchi, yeye ameamua kuyafanyia kazi, sasa kwanini watu wasimsifie?Huwa sipo huku kuitetea serikali kama mfanyavyo, panapotokea kosa huwa nipo radhi kukemea, hutakuta hata siku moja napindisha pindisha jinsi huwa mnafanya. Nyie hapa hata itokee nini au kosa gani kwenye serikali ya Magu, lazima mtapambana na kupindisha hadi pale mtaachiwa jukwaa. Na kuna uwezekano mkubwa itakua ni watu wachache lakini mumefungua akaunti nyingi maana mpo kikazi na huwa mnajisahau na kutumia maneno yale yale kwenye akaunti zote.
Mimi mlengo wangu wa kisiasa nimeshauweka wazi kwamba namuunga rais Uhuru mkono, na nipo tayari kumpigia kura siku yoyote ile hata wakirudia uchaguzi mara elfu moja, kufikia hapo, hakuna kiongozi yeyote mwengine amenipa sababu za mimi nimhame Uhuru.
Hata hivyo huwa sitetei pale makosa yakifanyika, maana sipo JF kikazi, nina kazi yangu ambayo naipenda na hutumia muda wangu mwingi.
Kwa mfano hilo la polisi wa Kenya kuwa dhaifu, nakubaliana nalo kabisa maana polisi wetu ni ovyo sana. La ukabila pia nakubaliana nalo, lipo Kenya haswa wakati wa uchaguzi, na hakuna kiongozi hata mmoja awe wa serikali au upinzani anapigana nalo, ndio mtaji wao.
Uhuru kutopambana na ufisadi ipasavyo, nakubaliana nalo, tena mara nyingi nimelitaja hili, lakini pia hamna kiongozi mwengine amenipa sababu za kwanini achaguliwe yeye, nakumbuka Raila akiwa waziri mkuu jinsi alijiingiza kwenye ufisadi balaa na ukabila wa kupitiliza.
Kwa kifupi, mimi ni mzalendo na kwenye jukwaa kama hii nitaleta habari nzuri za nchi yangu na kuzitetea pale mkiibuka kama ilivyo kawaida yenu kuponda chochote kizuri cha Kenya, wakati mimi binafsi naujua uozo wenu fika.
Huyo jamaa mwaswast ni bitter denial achana nae ana uchokochoko flaniHii sasa inaitwa kuosha kinywa, huna hata aibu unaongea kumbe hujui chochote.
Eti hamna hata time frame ?
Designer : COWI & SENER
Consultant: KORAIL JV KOREA RAIL ROAD
Completion date:07/11/2019
Wewe acha upuuzi wa kusema kila MTU anaitetea serikali, watu wengi wanaikubali hii serikali na wanaelewa wanasiasa wao, na najua hupendi na utaleta leta maneno ya kizushi. Ila hivyo ndivyo itavyokuwa until 2020.Madini ya Tanzanite, Kenya na hoja ya Zitto wapi na wapi, mkilipwa kutetea serikali kwenye figisu zake muwe mnashirikisha na ubongo pia, sio kuandika andika tu.
Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?Siku akili ikifunguka ukajiuliza kwa nini maswali maswali muhimu kama haya kwa nchi yetu hayaulizi bungeni anaulizia mtaani, utakuwa umepiga hatua kubwa sana! Kwa sasa utaishia kufuata itikadi yako tu!
Kwahiyo kama bunge halina uwezo wa kujadili mambo, nini iwe mbadala wake?, Kenya waliokosa imani na bunge la kitaifa wameamua kuunda mabunge ya wananchi katika majimbo yao, ambayo yananguvu na yapo kisheria, je kwenda kwenye vyombo vya habari na kuzungumza ukiwa mwenyewe ni njia muafaka?, kama kweli unadhani bunge halina msaada mbona huyo huyo Zitto hata jana alikuwemo humo bungeni na anaendelea kujenga hoja na kuuliza maswali, kwanini hili asiliulize tukasikia majibu ya serikali hata kama yanajichanganya kama walivyojichanganyaka kuhusu Lisu juzi waziri mkuu alivyobanwa na mbowe?, Zitto anajaribu kucheza na akili za watu wajinga kama wewe.Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?
Naamini akili yako ndio inapaswa kufunguliwa, maana kufunguka yenyewe ni msamiati mpya.
Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?
Naamini akili yako ndio inapaswa kufunguliwa, maana kufunguka yenyewe ni msamiati mpya.
Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?
Naamini akili yako ndio inapaswa kufunguliwa, maana kufunguka yenyewe ni msamiati mpya.