Misumari, malighafi kwa ajili ya SGR ya Tanzania vitatoka Uturuki, halafu wanaicheka Kenya

Misumari, malighafi kwa ajili ya SGR ya Tanzania vitatoka Uturuki, halafu wanaicheka Kenya

Madini ya Tanzanite, Kenya na hoja ya Zitto wapi na wapi, mkilipwa kutetea serikali kwenye figisu zake muwe mnashirikisha na ubongo pia, sio kuandika andika tu.
MK254 unaonyesha ni kwa kiasi gani ubongo wako haujakomaa, hivi wewe unapoitetea serikali ya Kenya ambayo duniani ipo katika tatu bora inamaana umelipwa na serika ya Jubilee sio mawazo na mtazamo wako?
 
Moto unazimwa kwenye press?
Press imemaliza kazi yake, aliyepaswa kusikia ameshasikia na ndio maana huwa anajibiwa. Tulia dawa iingie, Wakenya waache waseme, hawatuzuii mikono kwa maoni yao kiasi tuwalaumu. Moto utuchomao tunao hapa hapa nyumbani
 
Hamna hata hoja moja anayoongea hapo zaidi ya kuendelea kupepesuka na hoja mfu. Hawezi kupeleka upuuzi kama huu bungeni maana anajua ni uongo, anapost mitandaoni kuwapoteza watu wasiofuatilia mambo.

Local content imezingatiwa kwa kiasi kikubwa na wenye akili zao washaanza kunufaika na mradi.

Miongoni mwa upuuzi wake mwingine huu hapa.

Zitto Kabwe: Ndege hazitatua Tanzania ndani ya siku tano zijazo kwa uhaba wa mafuta
 
MK254 unaonyesha ni kwa kiasi gani ubongo wako haujakomaa, hivi wewe unapoitetea serikali ya Kenya ambayo duniani ipo katika tatu bora inamaana umelipwa na serika ya Jubilee sio mawazo na mtazamo wako?

Huwa sipo huku kuitetea serikali kama mfanyavyo, panapotokea kosa huwa nipo radhi kukemea, hutakuta hata siku moja napindisha pindisha jinsi huwa mnafanya. Nyie hapa hata itokee nini au kosa gani kwenye serikali ya Magu, lazima mtapambana na kupindisha hadi pale mtaachiwa jukwaa. Na kuna uwezekano mkubwa itakua ni watu wachache lakini mumefungua akaunti nyingi maana mpo kikazi na huwa mnajisahau na kutumia maneno yale yale kwenye akaunti zote.

Mimi mlengo wangu wa kisiasa nimeshauweka wazi kwamba namuunga rais Uhuru mkono, na nipo tayari kumpigia kura siku yoyote ile hata wakirudia uchaguzi mara elfu moja, kufikia hapo, hakuna kiongozi yeyote mwengine amenipa sababu za mimi nimhame Uhuru.
Hata hivyo huwa sitetei pale makosa yakifanyika, maana sipo JF kikazi, nina kazi yangu ambayo naipenda na hutumia muda wangu mwingi.

Kwa mfano hilo la polisi wa Kenya kuwa dhaifu, nakubaliana nalo kabisa maana polisi wetu ni ovyo sana. La ukabila pia nakubaliana nalo, lipo Kenya haswa wakati wa uchaguzi, na hakuna kiongozi hata mmoja awe wa serikali au upinzani anapigana nalo, ndio mtaji wao.

Uhuru kutopambana na ufisadi ipasavyo, nakubaliana nalo, tena mara nyingi nimelitaja hili, lakini pia hamna kiongozi mwengine amenipa sababu za kwanini achaguliwe yeye, nakumbuka Raila akiwa waziri mkuu jinsi alijiingiza kwenye ufisadi balaa na ukabila wa kupitiliza.

Kwa kifupi, mimi ni mzalendo na kwenye jukwaa kama hii nitaleta habari nzuri za nchi yangu na kuzitetea pale mkiibuka kama ilivyo kawaida yenu kuponda chochote kizuri cha Kenya, wakati mimi binafsi naujua uozo wenu fika.
 
Press imemaliza kazi yake, aliyepaswa kusikia ameshasikia na ndio maana huwa anajibiwa. Tulia dawa iingie, Wakenya waache waseme, hawatuzuii mikono kwa maoni yao kiasi tuwalaumu. Moto utuchomao tunao hapa hapa nyumbani
Siku akili ikifunguka ukajiuliza kwa nini maswali maswali muhimu kama haya kwa nchi yetu hayaulizi bungeni anaulizia mtaani, utakuwa umepiga hatua kubwa sana! Kwa sasa utaishia kufuata itikadi yako tu!
 
Madini ya Tanzanite, Kenya na hoja ya Zitto wapi na wapi, mkilipwa kutetea serikali kwenye figisu zake muwe mnashirikisha na ubongo pia, sio kuandika andika tu.
Tangu uanze hoja ya kuwa watu wanalipwa kutetea serikali uwezo wa kujenga baadhi ya hoja umepungua! Kivuli cha watu kulipwa kinakuathiri sana! Ni vyema urudi kwenye zama zako.
 
Zitto awamu hii amekuwa na gubu kama mke mdogo. Kila siku ni anazusha uongo na anatumia social media akijua tu kuna nyumbxx atawashika tu.
Tujikumbushe tu baadhi ya vitu ambavyo Zitto amekuwa akidanganya wazi wazi
1) Baa la njaa, hili alipigia debe ila kwa kuwa ni uongo baada ya miezi michache likafa kifo cha kawaida.

2) Terrible teen, Zitto hata baada ya kuhakikishwa na serikali aina ya ndege iliyonunuliwa alileta taharuki kwa kulazimisha kutumia source zisizo aminika za mitandaoni. Baadae source zake zote zilimgeuka.

3) Mapato ya serikali, ni mwezi tu umepita Zitto alikuwa anadanganya mapato ya serikali kwa mwezi yameshuka hadi 600bn Tsh kwa mwezi, TRA wakaja kutoa data zao zikionyesha wastani wa mapato ya mwezi ni 1.2tr, mara mbili anachokiongea Zitto.

4) Ukuaji wa uchumi, ni week chache tu zimepita Zitto alikuwa anadanganya kuhusu ukuaji wa uchumi, serikali ikamchoka ana kesi saivi mahakamani ya kutoa data za uongo.

Zitto ni kama mtu aliye changanyikiwa, anajaribu kuropoka lolote tu akijua kuna nyumbxx wenye chuki dhidi ya Magu watabeba tu ila uzuri uongo upotea na muda.
 
Zito, mwanzoni tulikuona mtu wa maana kwa kujenga hoja lakini sasa tunakuona hata jambo lenye manufaa kwa nchi unapinga ilimradi sema usikike,kama Magu amechukua agenda zenu muungeni mkono nchi isonge mbele tule migebuka ya leo leo hata huku upareni.
Kweli kabisa mkuu. Umenena vema.
 
Unapatia hawa watu stress mengi juu hata ujenzi haujaanza na Labda haunzishwi hivi karibuni. Hapa ni "tuta" miaka nenda miaka rudi in fact they have no definite timelines and their projects are mostly done in the present through paperwork and word of mouth but in fact they are futuristic without a realistically reliable timeline.
Huu ni wakati wa Bulldozer na Kikwete Mtu wangu.... hahahahahah, subiri tu
 
Huwa sipo huku kuitetea serikali kama mfanyavyo, panapotokea kosa huwa nipo radhi kukemea, hutakuta hata siku moja napindisha pindisha jinsi huwa mnafanya. Nyie hapa hata itokee nini au kosa gani kwenye serikali ya Magu, lazima mtapambana na kupindisha hadi pale mtaachiwa jukwaa. Na kuna uwezekano mkubwa itakua ni watu wachache lakini mumefungua akaunti nyingi maana mpo kikazi na huwa mnajisahau na kutumia maneno yale yale kwenye akaunti zote.

Mimi mlengo wangu wa kisiasa nimeshauweka wazi kwamba namuunga rais Uhuru mkono, na nipo tayari kumpigia kura siku yoyote ile hata wakirudia uchaguzi mara elfu moja, kufikia hapo, hakuna kiongozi yeyote mwengine amenipa sababu za mimi nimhame Uhuru.
Hata hivyo huwa sitetei pale makosa yakifanyika, maana sipo JF kikazi, nina kazi yangu ambayo naipenda na hutumia muda wangu mwingi.

Kwa mfano hilo la polisi wa Kenya kuwa dhaifu, nakubaliana nalo kabisa maana polisi wetu ni ovyo sana. La ukabila pia nakubaliana nalo, lipo Kenya haswa wakati wa uchaguzi, na hakuna kiongozi hata mmoja awe wa serikali au upinzani anapigana nalo, ndio mtaji wao.

Uhuru kutopambana na ufisadi ipasavyo, nakubaliana nalo, tena mara nyingi nimelitaja hili, lakini pia hamna kiongozi mwengine amenipa sababu za kwanini achaguliwe yeye, nakumbuka Raila akiwa waziri mkuu jinsi alijiingiza kwenye ufisadi balaa na ukabila wa kupitiliza.

Kwa kifupi, mimi ni mzalendo na kwenye jukwaa kama hii nitaleta habari nzuri za nchi yangu na kuzitetea pale mkiibuka kama ilivyo kawaida yenu kuponda chochote kizuri cha Kenya, wakati mimi binafsi naujua uozo wenu fika.
Inaonyesha ni kwakiasi gani wakenya wengi mnavyoweweseka na jinsi Magufuli anavyobadilisha hali ya mambo katika ukanda huu, hivi umesahau ni kwa kiasi gani watanzania wengi walivyokua wakimpinga Kikwete kwa uongozi wake wa hovyo wa kusafiri kila siku na kushindwa kupambana na rushwa, hukumbuki CCM ilikaribia kufa mikononi mwa Kikwete hadi upinzani ukapata nguvu za ajabu?, kwani kilichofanya hadi Chadema kikapata umaarufu ni nini kama sio udhaifu wa Kikwete kushindwa kusimamia mambo?, hata hizo kura nyingi alizopata Lowasa na idadi kubwa ya wabunge kupatikana ilichangiwa na udhahifu wa Kikwete zaidi, alikuwa ni kiongozi wa hovyo kama Uhuru Kenyatta, kutwa anasafiri na kucheka hovyo, na watanzania walimsema sana, Magufuli alikuwa anasikiliza ni mambo gani yanamfanya Kikwete achukiwe na wananchi, yeye ameamua kuyafanyia kazi, sasa kwanini watu wasimsifie?

kama ninavyokuambia, ni ukweli mtupu kwamba wakenya mnaweweseka na uongozi wa Magufuli, eti wewe unapinga pale panapohitajika kupinga ila hauoni ni kwa kiasi gani tunavyopinga tabia ya Magufuli ya kuwabana wapinzani, maelezo yangu hapo juu ni ushahidi tosha, nimekuambia tunapinga serikali kwa kupitia vyombo vya dola kuwabana wapinzani, pia nimewashangaa wapinzani kwa kushindwa kwenda mahakamani kutetea haki yao ya kikatiba ya kufanya mikutano ya hadhari iliyonyakuliwa na Magufuli badala yake wanang'ang'ana na kukamatwa kwa Bombadier,

Ila ni ukweli usiopingika kwamba, uongozi wa Uhuru Kenyatta una mapungufu mengi sana kama ulivyokua uongozi wa Kikwete, hivyo ni rahisi sana kupata points za kuchallenge uongozi wa Uhuru kuliko Magufuli, na kwasababu huku Afrika upinzani ni lazima utafute ya kupinga, ndiyo sababu Zitto anatapatapa, ukiondoa demokrasia, utapata kazi ngumu sana kumpinga Magufuli, yupo vizuri sana katika maeneo mengi.
 
At last the photographic evidence I have been waiting for. Kudos Tanzanians naona kweli JPM slogan yake ya "hapa kazi tu " ni kweli.
 
Hii sasa inaitwa kuosha kinywa, huna hata aibu unaongea kumbe hujui chochote.

Eti hamna hata time frame ?

Designer : COWI & SENER
Consultant: KORAIL JV KOREA RAIL ROAD
Completion date:07/11/2019

21034538_2018377108381600_8303382125390571322_n.jpg

21032744_2018377115048266_2958574962329880277_n.jpg

Huyo jamaa mwaswast ni bitter denial achana nae ana uchokochoko flani
 
Madini ya Tanzanite, Kenya na hoja ya Zitto wapi na wapi, mkilipwa kutetea serikali kwenye figisu zake muwe mnashirikisha na ubongo pia, sio kuandika andika tu.
Wewe acha upuuzi wa kusema kila MTU anaitetea serikali, watu wengi wanaikubali hii serikali na wanaelewa wanasiasa wao, na najua hupendi na utaleta leta maneno ya kizushi. Ila hivyo ndivyo itavyokuwa until 2020.
 
Siku akili ikifunguka ukajiuliza kwa nini maswali maswali muhimu kama haya kwa nchi yetu hayaulizi bungeni anaulizia mtaani, utakuwa umepiga hatua kubwa sana! Kwa sasa utaishia kufuata itikadi yako tu!
Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?

Naamini akili yako ndio inapaswa kufunguliwa, maana kufunguka yenyewe ni msamiati mpya.
 
Kwahiyo kama bunge halina uwezo wa kujadili mambo, nini iwe mbadala wake?, Kenya waliokosa imani na bunge la kitaifa wameamua kuunda mabunge ya wananchi katika majimbo yao, ambayo yananguvu na yapo kisheria, je kwenda kwenye vyombo vya habari na kuzungumza ukiwa mwenyewe ni njia muafaka?, kama kweli unadhani bunge halina msaada mbona huyo huyo Zitto hata jana alikuwemo humo bungeni na anaendelea kujenga hoja na kuuliza maswali, kwanini hili asiliulize tukasikia majibu ya serikali hata kama yanajichanganya kama walivyojichanganyaka kuhusu Lisu juzi waziri mkuu alivyobanwa na mbowe?, Zitto anajaribu kucheza na akili za watu wajinga kama wewe.
 
Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?

Naamini akili yako ndio inapaswa kufunguliwa, maana kufunguka yenyewe ni msamiati mpya.

Hapo kwenye blue, umeweka maneno na maana yako kinyume na nimaanishavyo, na haya yanatokana na utashi wako binafsi. Hivyo huwezi kuibadili hoja yangu kwa kujikita kwenye mwamvuli huo.
 
Bunge? Unamaanisha bunge hili hili ambalo lina kazi ya kupigia makofi hata matumizi ya fedha ambazo bunge lenyewe halikuzipitisha wala kujadili?

Naamini akili yako ndio inapaswa kufunguliwa, maana kufunguka yenyewe ni msamiati mpya.

Hili nalo neno, tatizo bunge zetu hizi huwa zinatamausha kiasi kwamba huwezi kuhoji serikali ipasavyo. Unakuta hadi hata spika wa bunge anaegemea upande wa serikali na anaongoza kwenye kuhakikisha anailinda dola.

Bora hivyo, kupiga makelele huko nje ili vyombo vya habari vichukue usukani na kuipelekesha serikali, tatizo vyombo vyenu vya habari havipo kama vya kwetu hapa, yaani vya Kenya huwa wanahoji balaa hadi serikali inaishia kutoa majibu. Unakuta Raila anaropokwa maneno na kutuhumu na kuachia wanahabari wafuatilie na kudadisi hadi serikali inatolea majibu na kinaishia kueleweka.
 
The Chinese firm which built the high capacity railway track between Mombasa and Nairobi says it pumped billions of shillings in Kenya’s economy even as debate rages over the viability of the mega project.
The China Communications Construction Company Ltd (CCCC) said 40 per cent of the Sh327 billion contract (Sh130 billion) trickled to different segments of the economy.
At a Monday media briefing in Nairobi, the company said it hired 2,946 local security personnel and contracted 1,234 suppliers during its two and half years of construction work. It also hired 46,000 local workers and invested Sh27.6 billion directly in various community projects, among them three schools.
“Lots of job opportunities have been created for locals and local talents have been trained,” the CCCC said. “The SGR will make Kenya more open to local businesses and foreign investment, which is not only good for Kenya but also for the entire East African Community.”
Kenya becomes the first East African State to replace its meter-gauge track with a high-capacity line after President Uhuru Kenyatta launches Mombasa-Nairobi track today.
With ready financial and technical support of the Chinese, the Sh327 billion project took just two and half years to complete.
“Through local procurement and subcontracting, we have facilitated the development of local cement companies, oil companies, SMEs and transport companies in Kenya,” the Chinese firm says.
According to CCCC, the more than 300,000 tonnes of cement that it bought from Bamburi by February last year propelled the Kenyan firm to greater profitability and jolted it to raise annual production capacity by 10 per cent to two million tonnes.
The firm said it also bought simple machinery, chemicals and services in Kenya, adding that only the advanced equipment such as locomotives, operating equipment, SCE (signal, communication and electricity) were imported

SGR pumped ‘Sh130 billion into Kenyan economy’
 
Back
Top Bottom