Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

Nasikia kuna fursa ya mikopo ambayo inatolewa bila elimu ya ujasiriamali hongereni
 
kwani mie nahitaji kusaidiwa nini hali ya kua kazi yangu ni kusema ukweli tu gentleman

sihitaji kuomba kuchangiwa gari wala mafuta kama wale wengine waliozoea kuomba omba mara kwa mara
Mzee wa CUBA akuwa kama weweπŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…