Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ni imara kuliko wakati wo wote! Bahati nzuri zaidi siku ya vijana Chadema imepata promotion kubwa duniani kuliko kifani!kwan wewe kwenye huo mipasuko hapo chadema, uko upande wa chairman au vice chairman pale ili nikuelekeze maokoto utakayoyapata kisha uchague mwenyewe ujiunge upande gani 🐒
Kama taifa now tupambane na akili mnembe tuokoe kizazi cha vijana wanaoangamia na sisiemuNdugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...
Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.
Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.
hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.
CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.
Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒
Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Nape aliwavua nguo mchana kweupe.porojo na ma story ya town sio issue h
Uonga bhana.......ni uongoooo 😀 😀 😀tembelea ofisi au tawi la CCM lilio karibu nao, au tembelea wanapoboresha daftari la kudumu la wakupiga kura, utashuudia ukweli huu bayana 🐒
kwamba imekua promoted na kua genge la kihalifu lililokua limejipanga kuleta fujo na kuhatarisha umoja amani na utulivu nchini right?🐒Chadema ni imara kuliko wakati wo wote! Bahati nzuri zaidi siku ya vijana Chadema imepata promotion kubwa duniani kuliko kifani!
Kwa sasa Bibi wa Kizimkazi tumbo linatokota kwa wasiwasi maana unafiki wake umekuwa peupe!
huyo ni wawapi kwani,Nape aliwavua nguo mchana kweupe.
Alichokizungumza ndio ukweli na uhalisia unaofanyika huku field wakati wa uchaguzi. (Ninazungumzia uhalisia).
Kwa kuwa muwazi na mkweli...Nape kama kweli kuna malipo kwa kusema UKWELI, basi atalipwa na muumba wake.
vijanaa wa Tanzania wamejitambua na kuamua kujikusanya mahali ambapo pana matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto na matarajio ya maisha yao....Kama taifa now tupambane na akili mnembe tuokoe kizazi cha vijana wanaoangamia na sisiemu
Mkiacha akili mnembe mtaanza kufikiri vyemavijanaa wa Tanzania wamejitambua na kuamua kujikusanya mahali ambapo pana matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto na matarajio ya maisha yao....
wameepuka na kujitenga kabisa kujiunga na magenge ya kihalifu kama lile lililodhibitiwa jana 🐒
Endelea kujitoa ufahamu! Wana CCM wote akili wameshikiwa!kwamba imekua promoted na kua genge la kihalifu lililokua limejipanga kuleta fujo na kuhatarisha umoja amani na utulivu nchini right?🐒
Mboga mboga ni watu wa ajabu sanamambo ya kusadikika yabaki tu kwenye kupotoshana wakati wa kupoteza muda kwenye stori na porojo kuhusu vyama vya kisiasa....
kudeal na uhalifu hakusubiri madhara kutokea wala hakuna stori na porojo na magenge ya kihalifu,
kuchukua hatua muhimu dhidi yao na kuyasambatatisha kama ambavyo imetokea mbeya 🐒
hata hivyo,
huruma ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan imewafanya wakiri kujitenga na kusudio la kihalifu na sasa wako huru 🐒
Wewe ndio acha uongo........hizo vitu azikusaidii chochote.......... wote tunaishi Tanzania hii na tunajuana 😀 😀eleza ukweli bas gentleman 🐒
kwani mie nahitaji kusaidiwa nini hali ya kua kazi yangu ni kusema ukweli tu gentlemanWewe ndio acha uongo........hizo vitu azikusaidii chochote.......... wote tunaishi Tanzania hii na tunajuana 😀 😀
