Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

kwan wewe kwenye huo mipasuko hapo chadema, uko upande wa chairman au vice chairman pale ili nikuelekeze maokoto utakayoyapata kisha uchague mwenyewe ujiunge upande gani 🐒
Chadema ni imara kuliko wakati wo wote! Bahati nzuri zaidi siku ya vijana Chadema imepata promotion kubwa duniani kuliko kifani!

Kwa sasa Bibi wa Kizimkazi tumbo linatokota kwa wasiwasi maana unafiki wake umekuwa peupe!
 
Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...

Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.

Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.

CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.

Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Kama taifa now tupambane na akili mnembe tuokoe kizazi cha vijana wanaoangamia na sisiemu
 
porojo na ma story ya town sio issue h
Nape aliwavua nguo mchana kweupe.
Alichokizungumza ndio ukweli na uhalisia unaofanyika huku field wakati wa uchaguzi. (Ninazungumzia uhalisia).

Kwa kuwa muwazi na mkweli...Nape kama kweli kuna malipo kwa kusema UKWELI, basi atalipwa na muumba wake.
 
Chadema ni imara kuliko wakati wo wote! Bahati nzuri zaidi siku ya vijana Chadema imepata promotion kubwa duniani kuliko kifani!

Kwa sasa Bibi wa Kizimkazi tumbo linatokota kwa wasiwasi maana unafiki wake umekuwa peupe!
kwamba imekua promoted na kua genge la kihalifu lililokua limejipanga kuleta fujo na kuhatarisha umoja amani na utulivu nchini right?🐒
 
Nape aliwavua nguo mchana kweupe.
Alichokizungumza ndio ukweli na uhalisia unaofanyika huku field wakati wa uchaguzi. (Ninazungumzia uhalisia).

Kwa kuwa muwazi na mkweli...Nape kama kweli kuna malipo kwa kusema UKWELI, basi atalipwa na muumba wake.
huyo ni wawapi kwani,
hali yakua chaguzi zote nchini haziendeshwi kwa maoni au mitazamo wa mtu bali katiba na sheria za nchi zilizopo....

kuamini na kufuata maoni potofu ya mtu baki saa zingine ni ushirikina 🐒
 
Kama taifa now tupambane na akili mnembe tuokoe kizazi cha vijana wanaoangamia na sisiemu
vijanaa wa Tanzania wamejitambua na kuamua kujikusanya mahali ambapo pana matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto na matarajio ya maisha yao....

wameepuka na kujitenga kabisa kujiunga na magenge ya kihalifu kama lile lililodhibitiwa jana 🐒
 
Mkiacha akili mnembe mtaanza kufikiri vyema
 
mambo ya kusadikika yabaki tu kwenye kupotoshana wakati wa kupoteza muda kwenye stori na porojo kuhusu vyama vya kisiasa....

kudeal na uhalifu hakusubiri madhara kutokea wala hakuna stori na porojo na magenge ya kihalifu,

kuchukua hatua muhimu dhidi yao na kuyasambatatisha kama ambavyo imetokea mbeya 🐒

hata hivyo,
huruma ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan imewafanya wakiri kujitenga na kusudio la kihalifu na sasa wako huru 🐒
Mboga mboga ni watu wa ajabu sana
 
Wewe ndio acha uongo........hizo vitu azikusaidii chochote.......... wote tunaishi Tanzania hii na tunajuana 😀 😀
kwani mie nahitaji kusaidiwa nini hali ya kua kazi yangu ni kusema ukweli tu gentleman :pedroP:

sihitaji kuomba kuchangiwa gari wala mafuta kama wale wengine waliozoea kuomba omba mara kwa mara:pedroP:
 
Sina la kusema
 
Attachments

  • 20240812_094210.jpg
    20240812_094210.jpg
    17.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom