Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ndugu zangu,
Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...

Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe.

Nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasababu ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasababu za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa.

CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na wa Tanzania wote, kina aminika, ndicho chenye Serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote.

Daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
 
ndugu zangu,
wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...

kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe...
nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Dr.Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasabb ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa...

hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasabb za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa..

CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na waTanzani wote, kina aminika, ndicho chenye serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote...

daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Bila picha tutauita huo ni uchawa.
 
Ni vijana wa wai hao? 🤣🤣🤣 Pole yao.
 
Huenda ni nguvu mpya ya kichungaji iliyoingia chamani
 
Students under 18.......................!!!!!!!!!!
No,
u18 hapana,
but we are preparing them for next year nao watapata haki fursa hiyo muhimu ya kujiunga CCM 🐒

kwasasa ni kuanzia miaka 18 na kuendelea ndiyo wanahusika 🐒
 
Sawa mkuu maana kijana wangu jana alikuja na kofia ya chama na yupo form two....
 
Hapo zishatembea elf 20/20 yani kwa mtoto wa shule maskini hio hela anaona ndefu mno anaizika future yake
 
Bila picha tutauita huo ni uchawa.
picha hutumiwa na wanaotafuta huruma, kiki au sifa..

kwangu mimi ukweli ndio pekee muhimu zaidi, upende, usipende, ukubali au ukatae lakini hiyo ndio habari ya mjini kwasasa...

karibi makande gentleman yamoto balaa 🐒
 
ndugu zangu,
wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala...

kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe...
nawapongeza kwa kutambua kwamba mna wajibu katika kulitumikia taifa kupitia Chama Cha Mapinduzi.

huo ni uamuzi wa kizalendo na kijasiri sana. Mwenyekiti wa CCM taifa Dr.Samia Suluhu Hassan amefurahi sana, na kwasabb ya majukumu mazito mengi ya kitaifa na kimataifa, huenda akapata muda wa kuzungumza nanyi baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa...

hakikisheni wote mnajiandikisha na kua wanachama wa CCM, sambamba na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na vijijini, lakini pia kwa wale wote ambao hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura miaka ya nyuma, kwasabb za kuimri ule, huu ndio wakati wenu muafaka, jiandikisheni sasa..

CCM ndiyo pekee chama kinachoaminika kwa umma, kitaifa na kimataifa, kinapendwa na waTanzani wote, kina aminika, ndicho chenye serikali na kina ongoza dollar, ndicho chenye sera nzuri za kueleweka na kutekelezeka, chenye uelekeo wa wazi na chenye uhakika wa kushinda uchaguzi kwa kishindo bila mbambamba yoyote...

daima epukeni kurubuniwa na kujiunga na vyama vya vya kisiasa vyenye sura na mienendo ya magenge ya kihalifu, mtapata tabu sana..🐒

Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Mungu Ibariki Tanzania.
Wekeni katiba mpya am tume huru ya uchsguzi muone hali halisi.
Sasa hivi ni kila mtu anapeleka njaa zake
 
Huenda ni nguvu mpya ya kichungaji iliyoingia chamani
kabisaa mtumishi,
hamasa ni kubwa mno, kadi zimekwisha lakini vijana wanadai wapatiwe walau namba au akaunti za uanachama, halafu kadi hata wakipata mwaka ujao sawa tu,
aise!🐒
 
Back
Top Bottom