fisadimpya
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 191
- 103
Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
Utofauti wao ni kwenye tarrif tu mteja wa tanesco yuko T1,na mteja wa Rea yuko T4Naomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
Sana bossmkuu utumiaji wa umeme unategemea na vitu vinavyotumia umeme ulivyokua nao, kwa iyo kama kila jengo umeweka unit 5, lakin kama kila jengo litakua na vifaa vinavyotumia umeme sawa,ina maana na matumiz yatakua sawa,na hizo unit zitaisha same time, utofaut wa mita za rea na mita nyingine ni katika ununuzi wa unit, wa mfano ukiwa na elfu 5 ukinunua umeme kwenye mita ya rea utapata unit 41 hivi,wakat katika mita ingine kwa elfu 5 iyo unapata unit 14, sijui kama nimekupa muongozo mkuu
Ndugu mtejaNaomba kujua Kuna tofauti ya ulaji wa unit Kwa mita za zamani na mpya za rea?nazungumzia matumizi ya unit kwisha ni sawa.kwamba zote mbili nimeeka unit 5 matumizi ni sawa.uishaji unalingana?
Sio kweli kuna tofauti kati ya mita na mita, na hili tanesco wanatakiwa walifanyie kazi, nyumba niliyokuwa nakaa mwanzo nilikuwa natumia kati ya elfu 40 mpaka 50, hapa nilipohamia ni elfu 15 tu kwa mwezi, na vifaa vinavyotumia umeme vimeongezekamkuu utumiaji wa umeme unategemea na vitu vinavyotumia umeme ulivyokua nao, kwa iyo kama kila jengo umeweka unit 5, lakin kama kila jengo litakua na vifaa vinavyotumia umeme sawa,ina maana na matumiz yatakua sawa,na hizo unit zitaisha same time, utofaut wa mita za rea na mita nyingine ni katika ununuzi wa unit, wa mfano ukiwa na elfu 5 ukinunua umeme kwenye mita ya rea utapata unit 41 hivi,wakat katika mita ingine kwa elfu 5 iyo unapata unit 14, sijui kama nimekupa muongozo mkuu
Sawa mjuziTanesco wanapaswa kuelimisha watu zaidi, watu waelewe mita ni kufaa cha kusomea kiwango cha matumizi ya umeme ama maji.
Mtu kusema mita ya tanesco inakula umeme ni sawa na kusema mita ya dawasco/dawasa imekunywa maji yote, ni jambo lisilowezekana mita kunywa maji ama kula umeme.
Nishati yoyote iwe ya maji ama umeme ama mafuta ili iishe ni lazima iwe imetumika.
Ni sawa na kusema umejaza gari mafuta full tank halafu ukaipaki wiki nzima halafu siku unaiwasha unakuta hakuna mafuta, gari imekunywa mafuta, hili jambo haliwezekani. Ni lazima eitha gari ilitembea ama mtu alikuja akanyonya mafuta ama kuna leakage kwenye tank yakamwagika chini ila gari tu imepaki halafu mafuta yaishe haiwezekani.
Hua nikisikia mtu ambae ameenda shule kabisa anasema mita inakula umeme nasikitika sana. Wakati mwingine hua natoka kwenda chooni ama pembeni kulia kidogo kupunguza machungu 😂