Ila kilometa 450 za Dar hadi Dodoma ni nyingi, haitakauka kweli miti yenyewe 😂Maoni yangu serikali ingepanda miti kwenye huo uzio wa SGR ingependeza sana kuliko kuacha vijiotee vichaka pori tu.
Kuna miti inavumilia ukame.Ila kilometa 450 za Dar hadi Dodoma ni nyingi, haitakauka kweli miti yenyewe 😂
Ila kwa mazingira ya mjini wangepanda miti mingi sana. Jua linatesa watu, huwezi kuenjoy jua likiwa kali af hamna miti
Na Dodoma pia waizingatie. Panahitaji miti mingi sana
Pamoja na mapungufu yake bado Moshi ni livable town far better than most of towns/cities in TanzaniaMoshi ni kijiji kilichochangamka.
Moshi hata unakuta watu wanaendesha basikeli kama timu, including watalii siku za weekend wanazurura town na baiskeli kama mazoezi kutokana na kuwa na mitaa mingi ya utulivu na barabara kutokuwa na msongamanoPamoja na mapungufu yake bado Moshi ni livable town far better than most of towns/cities in Tanzania