Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

Mitaa/vitongoji/vijiji vya Tabora

Nakumbuka Rufita Club,Tabora Hotel.enzi hizo mwana isungu,mwanza load,kanyenye,ipuli.huko ndio UNYAMWEZINI
 
Kuna sehemu hizi mkoa waTabora:
USEGA
USUPILO
ULYANYAMA
USOKE
UYUI
USONGWA
URAMBO N.K.
 
Hivi kuna waliosoma Mwenge Primary enzi za Chiboni? Siwezi sahau poems zake; "Once l went to Fairly land" na "Water, water everywhere but no any drop to drink".
Mwalimu Fundi na somo lake la sayansi!

Mihogo ya babu Amri??? na sauce yake (hii ni pia ni kwa waliosoma Uyui pia)

Sambusa za Kassu na Bagia za Hotel.
 
Miogoni kule kwa akina hayati Saidi Mwamba Kizota,vp na kule MABAMA tumbaku bado inatoka?kuna karanga za kufa mtu kule na "swalu na nsansa" zilizoungwa "ntwili"nimepamisi sana kule.
 
Miogoni kule kwa akina hayati Saidi Mwamba Kizota,vp na kule MABAMA tumbaku bado inatoka?kuna karanga za kufa mtu kule na "swalu na nsansa" zilizoungwa "ntwili"nimepamisi sana kule.

Dah unanikumbusha mboga hii ya kufa mtu.
 
n'gambo,tukutuku,inara,rufitaclub,mwinyi,kanijobaba,itonjanda,taboraboys,mirambo,taboragirls,kitete,whitesandclub,!
 
Frankmanpalace,bybasguesthouse&hotels,taborattc,kariakoo,mtaawamusomabattery,studentcenter,uhimacenter,royalclub,
 
Back
Top Bottom