The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
Mshindi dhidi ya nani ???Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko.
Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania.
Sasa tufunge mikanda kwa miaka mingine 5 ijayo, tuchapeni kazi wanawane!
Deal Secured✅
Imewezaje kupatrol mitaa yote ya jiji la Dar hadi kufikia kusema hivyo?Na kesho mida kama hii, natumai mama atakuwa ameshatangazwa mshindi kwa kishindo cha mbwa koko.
Mimi nilikuwa navishangaa vyombo vya ulinzi vilikuwa vinahangaika nini, maana nchi nyingi wananchi wake hawana vinasaba vya maandamano, na mojawapo ni Tanzania.
Sasa tufunge mikanda kwa miaka mingine 5 ijayo, tuchapeni kazi wanawane!
Deal Secured✅
Mbona mie niko zangu mtaani naona gari za politics zinapitapita tuImewezaje kupatrol mitaa yote ya jiji la Dar na lufikia kusema hivy
Kwahiyo ulitaka watu umwaone sahivi mtaani au sio?Walipoambiwa hakuna nywinywinywi, walidhani utani
Isije ikawa ni calm before the storm.Mbona mie niko zangu mtaani naona gari za politics zinapitapita tu
Anawadqnganya watu ambao hawaishi darAcha uongo, dar ipi nyeupe
Ndo na mm nashangaa au atakuwa njombe ndanindaniAnawadqnganya watu ambao hawaishi dar
Hivi ni kweli Prof.Shivji katekwa?Huwa najaribu kuwaza hivi hawa wanaoifurahia hii serikali inayoteka na kuua watu ni binaadamu kamili kama wengine kweli au Kuna nguvu za giza zimeshiriki kuwapumbaza kiasi cha kushindwa kuiona hatari iliyopo mbele yetu?
Yaani yote maovu tena ya waziwazi ya ayitendwa na hii serikali lakini bado kuna binaadamu ambao kabisa wanajihisi wao hayawahusu dah!
Eehh! Mungu Baba.....
Taifa bado linasafari ndefu sana ya kuufikia ukombozi wakifikra aisee.
Mmh! Bado sijapata taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika .Hivi ni kweli Dr.Shivji katekwa?