DOKEZO Mitaa ya Daraja Mbili - Arusha kuna uhalifu kiasi kwamba hata Sungusungu nao wanaogopa kulinda

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Arusha wanalea upumbavu saaana, matokeo yake ndo hiyoo wanalipa gharama ya upumbaf wanaoulea
 
Hiyo daraja mbili ni kaeneo ka uhalifu wa kutisha tangu tanganganyika iumbwe, hata ikitokea kuna wababe wanataka kuitawala nchi upande mmoja naona itaanzia hapo, polisi wenyewe wanaogopa, wakipita ni wanapita juu ya madifenda hawathubutu kushuka chini wafanya msako wa mbwa kwa mbwa.
Kwa sasa daraja mbili ndio eneo hatari kuishi hapa tanzania, hiyo ni south africa in tanzania.
 
Shida ya Daraja mbili ….wahalifu wanafahamika….wazazi/ndugu wanawaficha kwa kigezo cha watoto ama ndugu zao…ni ngumu sana kumaliza uhalifu uko…sababu wanaishi nao na wanawafichaa
 
Nimekulia daraja mbili mtaa wa Jaluo - Arusha, huko kuna wahuni wengi na wapumbavu
Kwelii umetoka wap? jirani na kwa kina chingoli(yule kaka yao mbafu nimemsahau jina ila ata yy sasa ivi saa 12 ndani na milango inafungwa kama gerezani)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,ngoma za mashetani,kwa malai,chemchem,bongonyooo au wap home boi....m mzee wangu walimkaba na kumuumiza kichwani hapafai kwa kwelii.
 
Shida ya Daraja mbili ….wahalifu wanafahamika….wazazi/ndugu wanawaficha kwa kigezo cha watoto ama ndugu zao…ni ngumu sana kumaliza uhalifu uko…sababu wanaishi nao na wanawafichaa
Hiyo n fact moja wapo ila mambo yamebadilika ilikua ni wageni ndio wanakumbwa na hayo madhila tuuu ila sasa ivi mwenyeji ,mgeni wote shughuli moja.
Kama unaenda hayo maeneo nenda mchana kweupe tena pita katikati ya barabara.
 
Shida ya daraja mbili ni jiografia yake

Ina vichochoro vingi ,migomba na miti ...mbaya zaidi inaungana na unga ltd asee ni hatari sana

Kipindi cha magu uhalifu ulipungua sana hayo maeneo lkn sasa hivi uhalifu umerudi kwa nguvu kupindukia yaani hata maeneo ambayo hayakuwa na uhalifu wa kutisha kama Usa napo pameanza kuwa na matukio

Sehemu ambazo zinaufadhali atleast ngaramtoni haina rate kubwa
 
Mtaa wa Jaluo hapo bongonyoo nakumbuka kulikuwa na ukuta umeandikwa hvy ila badae badae pakajengwa nyumba.
Mm nilikuwa nakaa njia ya kwenda chemchem.
Kuna mama maarufu hapo anaitwa Mama Musa alikuwa anawauzia vijana bangi.

Lamomy
 
Acha uongo!! Avatar yako tyuu inaonyesha bado mjani upo kichwani.!! 🀣🀣🀣
Dah umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafahamika humu JF kwa mada za kupiga punyeto, sasa nikaja kuandika mada ya kuomba kazi sasa kuna mtu akarepy ety anaogopa kunipa kazi mana naweza kupiga nyeto kwenye vikombe vya chai vya ofisini πŸ˜‚
 
Dah umenikumbusha kuna kipindi nilikuwa nafahamika humu JF kwa mada za kupiga punyeto, sasa nikaja kuandika mada ya kuomba kazi sasa kuna mtu akarepy ety anaogopa kunipa kazi mana naweza kupiga nyeto kwenye vikombe vya chai vya ofisini πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaaa!!
JF unavyokuja ndivyo wanavyokupokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…