DOKEZO Mitaa ya Daraja Mbili - Arusha kuna uhalifu kiasi kwamba hata Sungusungu nao wanaogopa kulinda

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hapo daraja mbili mtu anafanyiwa uhalifu hata mchana, chanzo ni wazazi wa hao vijana wezi kuwalinda watoto wao dhidi ya mob justice, wezi wanafahamika hapo, inatakiwa wachapwe shaba/risasi hadharani kama ilivyowahi kufanyika sinon/migungani
 
Daraja mbili shikamoo, bora ile pisi ya huko iliamua kuachana namie. 😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…