DOKEZO Mitaa ya Daraja Mbili - Arusha kuna uhalifu kiasi kwamba hata Sungusungu nao wanaogopa kulinda

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimekulia daraja mbili mtaa wa Jaluo - Arusha, huko kuna wahuni wengi na wapumbavu
Mzee mm mpaka Sasa Niko huu mtaa huu wa jaluo, juzi tu Kuna askari wa zimamoto amekabwa na wahuni apa apa mtaa je sisi wageni c ndo tutauwawa Sasa maana ni noma saa 1 tu Jioni huwa niko ndani sitaki shida mm
 
Mzee mm mpaka Sasa Niko huu mtaa huu wa jaluo, juzi tu Kuna askari wa zimamoto amekabwa na wahuni apa apa mtaa je sisi wageni c ndo tutauwawa Sasa maana ni noma saa 1 tu Jioni huwa niko ndani sitaki shida mm
Mm Arusha sipataki tena, maeneo mengi wanaishi watu wasiojua ustaarabu.
 
Hiyo mitaa toka 1980 ilo hivyo hivyo, hata wanafunzi walikuwa wanapigana mapanga mchana kweupe, ubabe ubabe.
 
Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa yuko hapa Anasikia
 
Kuna UZI nitaandika kuhusu ARUSHA hasa ishu za kiusalama nilizozibaini kwa miezi michache niliyoishi hapa.
 
Ilisikitishwa na kubariki kikundi maarufu cha Wadudu na makonda alibariki nilimuona baba keegan hana utashi. Unashirikiana vip na waharifu ni sawa na panyaroad waombe kutambulika. Japo naamini wanamkondo wa wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…