ROOM 47
JF-Expert Member
- May 23, 2022
- 2,301
- 7,460
Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.