Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
Mjiandae kuhama hapo kwa hiari kupisha utalii na ikolojia
 
Back
Top Bottom