Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

ROOM 47

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2022
Posts
2,301
Reaction score
7,460
Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
 
Pande ndio ukoo wao ulipo wanaishi na chief wao
 

Kwa ujumla MPO kunguru wangapi hapo?? karibuni tufanye zoezi la sensa mwaka huu
 
Tena mzambarauni kwenye mti mkubwa huo ni hatari
 
Kuhusu Mbu na Kunguru serikali ya CCM imeshindwa.
 
Kunguru walitokea wapi?sio ndege wa asili
 
Ikulu ya Kunguru Tanzania ipo Morogoro kwenye miembe iliyopo kuanzia ule mtaa wa Msikiti wa Karume kupanda juu hadi ofisi ya CCM pandisha na Boma yote.
 
Ikulu ya Kunguru Tanzania ipo Morogoro kwenye miembe iliyopo kuanzia ule mtaa wa Msikiti wa Karume kupanda juu hadi ofisi ya CCM pandisha na Boma yote.
Hata pale maskani wanapouza bangi kwenye mfereji karibu na shule ya msingi kikundi kuna miti mikubwa mingi hadi popo wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…