Mitaa ya Kariakoo inachanganya sana

Mitaa ya Kariakoo inachanganya sana

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Yaani hili eneo, acha tu

Sijui ni kwa sababu ya uwingi wa magorofa marefu yenye kufanana

Mimi hadi leo napata tabu kukariri mitaa (with exception of few of them)

Lakini hii mingine acha tu. Yaani unaweza kuzunguka unaitafuta kongo unajikuta Lumumba 🤣🤣

Vipi, ushawahi kupigwa knockout na hii mitaa?

Au wewe ni mutoto wa mujini

Uzi tyr
 
Dar Es Salaam Ndiyo Tanzania Sasa Lazima Uanze Kulijua Hilo
Serikali Yenyewe Daily Ipo Dar
Bandari, Uwanja Wa Ndege Mkubwa, Viwanda Vikubwa, Wafanyabiashara Wakubwa
Njia Zote Kuu Za Uchumi
 
Toka mitaa ya Upanga iwe Nyang'oro,Alkani,Kilombero au Kalenga!!

Agrey ,Sikukuu.
 
Kusoma Sana NI uwoga wa maisha na pia maarifa yanapozidi huumiza kichwa
 
Ha ha ha ha! Huu mstari wa wimbo wa FA, miaka hiyo!
Ngoma inaitwa "Hii leo" ni verse ya mwanaFA

Ngoma ilikuwa ya na AY na GK

Ilibamba sana enzi zile EATV tukiita channel 5

enzi zetu tulikuwa tunaona bonge la video kama za mtoni[emoji2] yawezekana specification za ile camera iliyotengeneza ile video ni kama hizi za tecno za sasa[emoji1787]

Muda unanaenda sana

Ile nyimbo naweza iimba 90% hadi leo sijaisahau[emoji2]


"Temeke watoto wa mama siku hizi mnachonga ssna ,nyimbo moja mnajiona akina pdidiy ,mnaleta pozi starehe nyingi mademu kibao na kujirusha..."- dongo kwa TMK.

"Aliedanda treni kwa mbele ndio anajua mjini shule ..sio kwamba mimi sipendi harufu ya KUKU wa kienyeji hapana muda mwingine naona umuhimu wa kuhoja ..toks mitaa ya upanga ...."

Back then bonge fleva ilikuwa tamu sana.

Nikiwa naboreka huwa nazama boomplay napiga oldskul bongefleva zote nazozikumbuka

Hizi nyimbo za sasa ni takataka tu
 
Ungeijua mitaa ya Kariakoo tokea miaka ya nyuma huko kabla ya hayo magorofa isingekuchanganya.shughuli zako zingekua huko pia utaijua mitaa na aitokuchanganya.
 
😃😃😃 kuna mtu alishasema humu unaeza potea ukatamani kuwauliza raia vipi mliniona nikipita hapa?
 
Nachomshukuru Mungu kanipa ubongo yani active brain tofauti na mleta mada sa kariakoo unapoteaje
 
Shughuri zako zikiwa mitaa hiyo haitokuchanganya hiyo mitaa
Nalog off
 
Kkoo unatakiwa uijue asubuhi sana ,mchana wakati watu wamekuwa wengi na jioni wanaondoka kamwe huwezi kuipotea
la pili lazima uwe kama mbwa unaweza mark kila point unayoifikia
 
Back
Top Bottom