Mitaa ya Kariakoo inachanganya sana

Mitaa ya Kariakoo inachanganya sana

Mimi mwezi january nilifika hapo,nikazunguka wee mwisho wa siku nikatokea sehemu ambayo nimeshapita,yaani nimerudi palepale..ikabidi miombe msaada wa maelekezo,google map nayo niliona inazidi kunipoteza nikaachana nayo.
 
Kkoo unatakiwa uijue asubuhi sana ,mchana wakati watu wamekuwa wengi na jioni wanaondoka kamwe huwezi kuipotea
la pili lazima uwe kama mbwa unaweza mark kila point unayoifikia

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mawe ama
Mimi nafikiri wangepaka rangi tofauti chini kila mtaa maana kwa kweli kama hujapazoea unaweza kuuliza duka lile lile unalolitafuta kwa mwenyewe kumbe upo hapo hapo

Huku nilipo hata hospitali zimechorwa chini unaambiwa tu fata njano au blue
 
Back
Top Bottom