Ha ha ha ha! Huu mstari wa wimbo wa FA, miaka hiyo!
Ngoma inaitwa "Hii leo" ni verse ya mwanaFA
Ngoma ilikuwa ya na AY na GK
Ilibamba sana enzi zile EATV tukiita channel 5
enzi zetu tulikuwa tunaona bonge la video kama za mtoni[emoji2] yawezekana specification za ile camera iliyotengeneza ile video ni kama hizi za tecno za sasa[emoji1787]
Muda unanaenda sana
Ile nyimbo naweza iimba 90% hadi leo sijaisahau[emoji2]
"Temeke watoto wa mama siku hizi mnachonga ssna ,nyimbo moja mnajiona akina pdidiy ,mnaleta pozi starehe nyingi mademu kibao na kujirusha..."- dongo kwa TMK.
"Aliedanda treni kwa mbele ndio anajua mjini shule ..sio kwamba mimi sipendi harufu ya KUKU wa kienyeji hapana muda mwingine naona umuhimu wa kuhoja ..toks mitaa ya upanga ...."
Back then bonge fleva ilikuwa tamu sana.
Nikiwa naboreka huwa nazama boomplay napiga oldskul bongefleva zote nazozikumbuka
Hizi nyimbo za sasa ni takataka tu