A
Anonymous
Guest
Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni eneo la wafanyabiashara tunateseka sana.
Mtaa mwingine ni Mtaa wa Pemba napo kuna changamoto kubwa ya aina hiyo, huu ndio mwanzo wa kusambaa kwa magonjwa ambukizi.
Hatua zachukuliwa ~ DAWASA: Tumerekebisha mfumo wa maji taka uliokuwa na changamoto TANDAMTI - Kariakoo
Mtaa mwingine ni Mtaa wa Pemba napo kuna changamoto kubwa ya aina hiyo, huu ndio mwanzo wa kusambaa kwa magonjwa ambukizi.