KERO Mitaa ya Kariakoo (Mkunguni, Tandamti, Sikukuu, Congo) maji taka ya chemba yamesambaa, si salama kwa afya

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni eneo la wafanyabiashara tunateseka sana.

Mtaa mwingine ni Mtaa wa Pemba napo kuna changamoto kubwa ya aina hiyo, huu ndio mwanzo wa kusambaa kwa magonjwa ambukizi.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.



​
Hatua zachukuliwa ~ DAWASA: Tumerekebisha mfumo wa maji taka uliokuwa na changamoto TANDAMTI - Kariakoo
 
Luwa makini, wenyenchi hawatakuvumilia kwa uchochezi wako dhidi ya serikali na wananchi, hayo yote walikwisha yaona na wanayafanyia kazi yako kwenye hatua ya mikakati.
 
Tunanyanyua magorofa ,pia na maji machafu tutarekebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…