Mitaala mibovu na chakavu ya elimu yetu ndicho chanzo cha kuzalisha Panya Road

political monger senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
1,827
Reaction score
5,994
Kama Heading inavyosema. Mitaala ya elimu mibovu ndio chanzo cha umaskini wetu,Jobless na panya Road.. Waziri wa elimu na wizara kwa ujumla inabidi mtutoe apa tulipo.

IMG-20220926-WA0000.jpg
 
Kama Heading inavyosema. Mitaala ya elimu mibovu ndio chanzo cha umaskini wetu,Jobless na panya Road.. Waziri wa elimu na wizara kwa ujumla inabidi mtutoe apa tulipo.

View attachment 2368458
Wewe nitakuita mshenzi, jambazi.
Wewe ni Fascist kwa kuleta uzi kama huu.

Jamiiforums imeacha msamiati huu kuendelea hapa na kudhiinisha ukimbari ndani ya Jamii ya mtanzania.

You are implicit!
 
Panya rodi ni matokeo ya wazazi kushindwa kuwlea watoto wao katika maadili mema, ndio maana leo hii tumekuwa tukisikia mtoto kamkata panga Baba yake au Mama yake.
 
mpaka nimeleta mada apa jukwaani nimeshaifanyia research ivi vitoto vipanya road ni below 22 ambao wengi wao ni awa wanaomaliza form4 kwenye izi shule za kata na wengine ni wale waliofeli darasa la saba etc. mwanafunzi anamaliza shule hana knowledge yoyote inayohusiana na tech au duni inavyoenda yani yupo yupo tu amekalilishwa michoro ya ajabu ajabu ambayo aimsaidii chochote kile
 
Kwa Nn vyuma vikikaza wanaibuka panya road, vikilegeza wanafifia?. Umaskini ni tatizo ambalo tiba yake sio elimu. Hata watu wote wapewe elimu na mitaji ya Milioni 200 kila mmoja baada ya miaka 6 mbele maskini watakuwepo. Na tutawasaidia hela ya kula kama kawaida. Sabab y umaskini ni piramidal structure inayoongoza watu kuishi. Kwenye base huku Kuna watu wengi wenye Hali mbaya. Hawana hela ya kula. Hili tatizo la umaskini mkuu linaweza kutibika Kwa kupunguza utofauti wa tajiri na maskini usiwe mkubwa tu. Umasikin tutkuwa nao mpaka tuishe
 
Hapo kwenye kuleta mfumo utakaopunguza pengo kati ya tajiri na masikini ndipo wanahitajika wasomi pamoja na rasilimali tulizonazo kama nchi lakini miaka 60 tangu tupate uhuru bado tu masikini maanake tumekosa wenye maarifa ya kutuvusha kwaiyo elimu mbovu inachangia pia, viongozi wetu ndo hawa hawa wakina mwigulu ambao wamezalishwa na mfumo wa elimu huu uliopo nchini. Ni kweli umasikini ni shida lakini titauondoa vipi hapo ndo wanahitajika wataalamu wa kuset mipango hao wataalamu wametengenezwa kwa nyenzo gani jibu ni elimu
 
well said mkuu.. elimu yetu ni ya ajabu aijapata kutokea yani mtu kuanzia anasoma chekechea mpka anamaliza darasa la saba ajui nini alichosoma yani ni kukariri vitu vya ajabu ajabu baada ya kutengeneza mitaala ya kueleweka inayoendana na soko la dunia sisi tumebaki kukalilishana michoro na vitu visivyo na tija kwenye jamii
 
Kama Heading inavyosema. Mitaala ya elimu mibovu ndio chanzo cha umaskini wetu,Jobless na panya Road.. Waziri wa elimu na wizara kwa ujumla inabidi mtutoe apa tulipo.

View attachment 2368458
Hao watoto wenyewe,hawasimamiwi na wazazi kwenda shule.Mzazi akishamuandikisha mwanawe shule,ndio basi hakanyagi tena,hajui anakwenda shule au haendi shule.Angalia maeneo yenye Panya Road,Watoto wa Iblis,hata dini hawafuati inavyotakiwa,ni vurugu tu.
 
well said mkuu.. elimu yetu ni ya ajabu aijapata kutokea yani mtu kuanzia anasoma chekechea mpka anamaliza darasa la saba ajui nini alichosoma yani ni kukariri vitu vya ajabu ajabu baada ya kutengeneza mitaala ya kueleweka inayoendana na soko la dunia sisi tumebaki kukalilishana michoro na vitu visivyo na tija kwenye jamii
Inatakiwa kila ngazi ya elimu imtoe muhitimu mwenye ujuzi wa kutumia fursa sasa kwa bongo mhitimu wa std 7 lengo ni kumpeleka form 1, wa form 4 lengo aende form 5, wa form 6 lengo aende chuo, wa chuo lengo aajiliwe sasa hapo yoyote atakaeishia njiani au hata akifika chuo akakosa ajira mfumo hauna msaada kwake tena atapambana na hali yake
 
Hapo kwenye kuleta mfumo utakaopunguza pengo kati ya tajiri na masikini ndipo wanahitajika wasomi pamoja na rasilimali tulizonazo kama nchi lakini miaka 60 tangu tupate uhuru bado tu masikini maanake tumekosa wenye maarifa ya kutuvusha kwaiyo elimu mbovu inachangia pia, viongozi wetu ndo hawa hawa wakina mwigulu ambao wamezalishwa na mfumo wa elimu huu uliopo nchini. Ni kweli umasikini ni shida lakini titauondoa vipi hapo ndo wanahitajika wataalamu wa kuset mipango hao wataalamu wametengenezwa kwa nyenzo gani jibu ni elimu
Hapana, elimu inatakiwa iwe sehem y Sera imara Sana sambamba na uchumi. Ukiangalia vizur utaona uchumi upo mikononi mwa watu wachache. Wanaofatilia siasa wanawajua. Elimu hii sio mbaya ila ikiwezekan mikakati ibadilike. Haiwezekan Sera na mipango yetu I nashindwa kuadjust nafuu kweny matatizo hayo. Watu wa Sera wanajua namna ya kufuma mipango mingine. Mm naona siku za kazi ziwekwe 6 ili siku 4 wafanyakazi wa kawaida. Na mbili wapewe watu wa intern kwenye ofis hizo hizo watoe huduma na walipwe. Then tuendelee kutafuta namna nyingine Kwa maana mikakati huu nilioutoa miaka 6 mbele utaonekana haufai na tatizo litakuwepi tu.
 
Inatakiwa kila ngazi ya elimu imtoe muhitimu mwenye ujuzi wa kutumia fursa sasa kwa bongo mhitimu wa std 7 lengo ni kumpeleka form 1, wa form 4 lengo aende form 5, wa form 6 lengo aende chuo, wa chuo lengo aajiliwe sasa hapo yoyote atakaeishia njiani au hata akifika chuo akakosa ajira mfumo hauna msaada kwake tena atapambana na hali yake
Huu mfumo wa elimu dunia nzima upo hivyo. Utofauti n kwamba wenzetu wanaoweza kujiadjust kwenda nao. Sisi Leo tukiambiwa tupunguze kuzaa ugomvi. Mtu analipwa elf 7 Kwa siku Lakin anazaa kama panya. Tatizo la umaskini na ajira ni serious SUB SAHARAN AFRIKA NA ASIA kuliko maeneo yoyote duniani. Unalijua Hilo?
 
Hapana, elimu inatakiwa iwe sehem y Sera imara Sana sambamba na uchumi. Ukiangalia vizur utaona uchumi upo mikononi mwa watu wachache. Wanaofatilia siasa wanawajua. Elimu hii sio mbaya ila ikiwezekan mikakati ibadilike. Haiwezekan Sera na mipango yetu I nashindwa kuadjust nafuu kweny matatizo hayo. Watu wa Sera wanajua namna ya kufuma mipango mingine. Mm naona siku za kazi ziwekwe 6 ili siku 4 wafanyakazi wa kawaida. Na mbili wapewe watu wa intern kwenye ofis hizo hizo watoe huduma na walipwe. Then tuendelee kutafuta namna nyingine Kwa maana mikakati huu nilioutoa miaka 6 mbele utaonekana haufai na tatizo litakuwepi tu.
Ukivuluga mfumo wa elimu automatically umevuluga kila kitu, mfumo wetu wa elimu sio mzuri hauzalishi wataalamu ambao wapo competence kwaiyo automatically sera na mipango napo tutakua ovyo, fikiria leo hii serikali inasomesha lundo la wanafunzi ikiwa hakuna ajira za kuwapa hivi tushawahi kufanya uchambuzi tukajua ni kiasi gani tunapoteza kwa kutengeneza un-utilised graduates kwanini tusisomeshe kwa uwiano wa fursa zilipo na idadi ya wanafunzi? Mawazo kama hayo uwezi kuyapata maaa pale bungeni sifa ni kujua kusoma, kuandika na kuhesabu tu.. Bado nipo na mtoa mada elimu ndo msingi wa tatizo ukivuluga hapo matatizo mengine yata-flow automatically tu
 
Huu mfumo wa elimu dunia nzima upo hivyo. Utofauti n kwamba wenzetu wanaoweza kujiadjust kwenda nao. Sisi Leo tukiambiwa tupunguze kuzaa ugomvi. Mtu analipwa elf 7 Kwa siku Lakin anazaa kama panya. Tatizo la umaskini na ajira ni serious SUB SAHARAN AFRIKA NA ASIA kuliko maeneo yoyote duniani. Unalijua Hilo?
Hapana mkuu, kwa Tanzania mfumo wa elimu lengo ni kumpeleka mwanafunzi hatua inayofata, ndo maana tunaangaika na past papers, kukalili n.k sijui izo nchi nyingine maana sijawahi kutoka nje ya nchi
 
Ukivuluga mfumo wa elimu automatically umevuluga kila kitu, mfumo wetu wa elimu sio mzuri hauzalishi wataalamu ambao wapo competence kwaiyo automatically sera na mipango napo tutakua ovyo, fikiria leo hii serikali inasomesha lundo la wanafunzi ikiwa hakuna ajira za kuwapa hivi tushawahi kufanya uchambuzi tukajua ni kiasi gani tunapoteza kwa kutengeneza un-utilised graduates kwanini tusisomeshe kwa uwiano wa fursa zilipo na idadi ya wanafunzi? Mawazo kama hayo uwezi kuyapata maaa pale bungeni sifa ni kujua kusoma, kuandika na kuhesabu tu.. Bado nipo na mtoa mada elimu ndo msingi wa tatizo ukivuluga hapo matatizo mengine yata-flow automatically tu
Bungeni aya mambo uwezi kuyasikia wao wapo na big results now yani elimu yenyewe ni siasa tosha[emoji16][emoji16] ndio unasikia shule ya msingi janja janja imefaulisha wote wanafunzi wa darasa la saba wakifika sekondari ukija mtihani wa vipimo kama wanajua kusoma na kuandika hollaaaa yani wanawarundika tu ilinradi ionekane shule za serikali zimefaulisha watu wakati wao watoto wao wanasoma IST na wengine wanasomea mitaala ya Cambridge
 
Ukivuluga mfumo wa elimu automatically umevuluga kila kitu, mfumo wetu wa elimu sio mzuri hauzalishi wataalamu ambao wapo competence kwaiyo automatically sera na mipango napo tutakua ovyo, fikiria leo hii serikali inasomesha lundo la wanafunzi ikiwa hakuna ajira za kuwapa hivi tushawahi kufanya uchambuzi tukajua ni kiasi gani tunapoteza kwa kutengeneza un-utilised graduates kwanini tusisomeshe kwa uwiano wa fursa zilipo na idadi ya wanafunzi? Mawazo kama hayo uwezi kuyapata maaa pale bungeni sifa ni kujua kusoma, kuandika na kuhesabu tu.. Bado nipo na mtoa mada elimu ndo msingi wa tatizo ukivuluga hapo matatizo mengine yata-flow automatically tu
Hiv unajua tatizo la ajira dunia nzima lipo? Tuanze hapo kwanza
 
malezi bora na kesho nzuri ya mtoto uanzia nyumbani (familia) sio mitaala ya shule
 
Form six geography unasoma features of wave erosion ikiwa na michoro well lebbed marks 20.

Lilianzishwa somo la Tehama shule za msingi wakati shule nyingi hazina vitendea kazi katika somo hilo mwishowe wanafunzi waliishia kukariri na somo hilo kufeli vibaya tofauti na ilivyotarajiwa.
 
Back
Top Bottom