Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

Status
Not open for further replies.
Kwa mujibu wa Diallo (mwenyekiti wa ccm mkoa) tulistahili tulioyapitia chini ya JPM. "Tulimchagua" wenyewe huku tukiwa tunajua kuwa ana faili pale mirembe!
Job naye ana faili mirembe,anze kushughulikiwa moja aachie kiti
 
Kijamaa kilikua kinajiandalia mazingira kutawala bila kikomo....Mungu akaingilia kati.
 
Asante Mungu kwa kutuondolea jahili huyu, shnz kabisa
 
Tulianza kuwa kama Korea Kaskazini kule ambapo mvua ikinyesha wanaamini ni Kiduku amefurahi.
 
Hii ni propaganda tu kujustify maamuzi ya kuachana na SoMo Hilo.

Aliyetoa taarifa anatusimulia aliyosimuliwa.

Ama kweli watanzania hatupendi kusoma.
 
Wakati ule waliunga mkono kwa hilo somo kuongezwa 100%

Viongozi wale wale sasa hivi wanalipinga hilo somo kwa 100%
Hypocrites, viongozi na wapiga zumari wao wote ni punguani.
 
Muache mzee Jpm apumzike...tuongelee yanayotuhusu sisi tuliopo.
Upuuzi aliokuwa akiufanya lazima aongelewe bila kukoma ili liwe fundisho kwa wale mbumbumbu ambao hawakuwa na upeo wa kuona ya kuwa alikuwa akiliangamiza taifa, mfichaficha maradhi nadhani unajua matokeo yake.
Acha ukweli uzidi kusemwa kila uchao.
 
Mioyo ya Watanzania gani? hawa wote wanaoanika upuuzi na uzandiki alioifanyia nchi ni raia wa nchi gani?
Acha kujitoa ufahamu.
 
na kila mtu alitaraijia hiloo
litakuwa somo mahususi kwa ajili ya kumsifu Bwana kilevii
 
Rasmi alikuwa anaenda kuigeuza Tanzania kuwa North Korea ya Afrika. Nina hakika angetoka madarakani baada ya damu nyingi kumwagika. Tumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.
Huu uozo aliokuwa akifanya ulizidi kikomo, hii inatafakarisha kidogo kwamba kuna uwezekano baada ya kubainika alipokuwa akilipeleka taifa hakufai basi ikaonekana ni bora 'atangulizwe' fasta kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Toa ushahidi za haya madai yako.
 
Muache mzee Jpm apumzike...tuongelee yanayotuhusu sisi tuliopo.
Sielewi hata mantiki ya kumlaumu JPM. Kafa lakini ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira uko palepale.

Suala la elimu hakuna waziri wa Tanzania aliyelipatia suluhisho hata mmoja. Ndalichako naye ni janga kwenye wizara. Busy anasimamia kanuni na miongozo ambayo haijui kama ina tija au la.
 
Ulikuwa mpango mkakakati wa Mwendazake kuigeuza nchi ya Kidemokrasia kuwa kama familia yake na watu wote wamuabudu yeye.

Asante Mungu hukuruhusu hilo.
Sasa unaweza kuona kuwa kuna kitu alikuwa analenga. Haikuwa uraisi tu ilikuwa kama kuanzisha imani mpya. Kuna wengi walianza kumsjudu na kumuogopa na walianza kusema ushuhuda wa uwongo juu ya mtu huyu. Ilikuwa hatari sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…