Ndugu wanaJF juzi niliingia ndani ya compaund ya Tanesco pale ubungo nilikuwa na shidaya kumuona jamaa mmoja kwa masuala fulani lakini nilishangaa kukuta mitambo ya Dowans inafanya kazi nilimuuliza vipi mbona haya majenereta yanafanya kazi akasema "ah.... we acha tu...".
Ndugu zangu mwenye details za mauziano anisaidie kunielewesha kidogo kulikoni?
sheria haikatazi kununua second hand equipment ambazo ni muhimu kwa taifa...Kutokana na sheria za manunuzi za huko Tanzania, haziruhusu Serikali kununua vitu vilivyokwisha tumika (mitumba).
sasa sijui kama wamevunja hilo.
Ingekuwa ni vyema ungekuja na ushahidi hapa kuliko sisi tuamini kile unachosema. Weka ushahidi kwanza ndipo watu waanze kudondosha facts.
labda ra alimwambia jk nunua -- la sivyo nita-spill the beans kwa kutoa data kuhusu kagoda kwamba tulikuwa pamoja katika dili nzima. Jamaa akanywea, akanunua. Katika hili ni rahisi mno ku-armtwist.
Kwa malezo yako haya inaonyesha kuwa ulikwenda pale Tanesco makao makuu. Kama ni hivyo utakuwa umeona kitu kingine. Mitambo ya Doawans haipo pale kaibu na jengo la makao makuu, iliyopo pale karibu, ambayo inafanya kazi ni mali ya Tanesco yenyewe na ilizinduliwa miezi kadhaa iliyopita na JKNdugu wanaJF juzi niliingia ndani ya compaund ya Tanesco pale ubungo nilikuwa na shidaya kumuona jamaa mmoja kwa masuala fulani...
Kwa malezo yako haya inaonyesha kuwa ulikwenda pale Tanesco makao makuu. Kama ni hivyo utakuwa umeona kitu kingine. Mitambo ya Doawans haipo pale kaibu na jengo la makao makuu, iliyopo pale karibu, ambayo inafanya kazi ni mali ya Tanesco yenyewe na ilizinduliwa miezi kadhaa iliyopita na JK
bado generator zipo, walichofanya na wanachotaka kufanya, serikali ya tanesco/nishati wametoa tender ya kununua 100 mw kwa $120mllion badala ya $50million bei halisi mpaka kufungwa na kuwashwa kwenye site.
Kuna kampuni moja ambayo ni mjomba wa richmond na dowan inaitwa noor oil, imepeleka tender hapo tanesco, hii kampuni siyo watengenezaji wa hii mitambo, wanachotaka kufanya, ni kununua hiyo 100mw toka kwa watengenezaji kwa $50-60million na kuuzia serikali $120million, $60million zitaingia kwenye kufidia hiyo ya dowani na kiasi kingine kinaenda kw akina idrisa/waziri/ na wanasiasa wengine ambao watajitoa mhanga kutetea huo wizi
kikwete ana kazi nzito sana.

kAAAAAZI KWELIKWELI.je hii ndo website yao?au ni wenginekikwete ana kazi nzito sana.
Lakini kwa nini yule mtaalam alipoulizwa "mbona haya majenereta yanafanya kazi?" akajibu ..."aah..we acha tu.." kuna dalili za ukweli katika hili muhimu ni kufuatilia.Inaweza pia kuwa ni Generator ya kawaida tu ilikuwa imewashwa na wala si mitambo ya Dowans!